Mkuu betri na hayo ya Android wapi na wp.....,betri kazi yake cniku supply power2......,Anyway ikimaliza kuload hizo android ukiiwasha......,inaandikaje ama inafanyeje... ????Betri ya hiyo simu yaweza kuwa sh ngapi
Ikimaliza inajizima na kuwaka na kuanza tena kuload...na mchezo ni huo huoMkuu betri na hayo ya Android wapi na wp.....,betri kazi yake cniku supply power2......,Anyway ikimaliza kuload hizo android ukiiwasha......,inaandikaje ama inafanyeje... ????
Huenda ikawa betri kwani hata ikiwa kwenye charge haijai...na heat sanaMkuu betri na hayo ya Android wapi na wp.....,betri kazi yake cniku supply power2......,Anyway ikimaliza kuload hizo android ukiiwasha......,inaandikaje ama inafanyeje... ????
Aah kumbe inachemkA???Huenda ikawa betri kwani hata ikiwa kwenye charge haijai...na heat sana
jaribu kuwatafuta lkn sidhani kama hawatokuzuga tuDu...ndo unataka kusema hakuna mafundi[emoji24]
Hakuna cha huenda mkuu,LG ikifika hapo ndo basi tena ww tafuta simu nyingine tu.niliwahi kuwa na G3 ikaanza hzo bange hakuna fundi aliinua mpka nikaituma south lkn haikupona basi nikaachana nayoHuenda ikawa betri kwani hata ikiwa kwenye charge haijai...na heat sana
Hata kama umeizima ikiwa na Betti tu inachemkA cndiyo???Hilo nalo ni tatizo lake
Du hatari sana ngoja nikubaliane na hali halisiHakuna cha huenda mkuu,LG ikifika hapo ndo basi tena ww tafuta simu nyingine tu.niliwahi kuwa na G3 ikaanza hzo bange hakuna fundi aliinua mpka nikaituma south lkn haikupona basi nikaachana nayo
Shida possibly ni battery mkuu.Ni LG G2 FLEX, haiwaki...ikiwaka baada ya kuonesha ile logo ya LG inaendelea kwa kuandingika inaanzisha Android....baada ya hapo inaanza tena huo mchezo...mafundi nisaidieni.
View attachment 662457View attachment 662458
Yes wapata mkuu...Nawezakuipata betri?