Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,692
- 14,484
Acha tuu aendelee kuzitoa hizo siri jirani yanguJirani kumbe bado unasubiri siri za kambini.
Acha tuu aendelee kuzitoa hizo siri jirani yanguJirani kumbe bado unasubiri siri za kambini.
[emoji39] [emoji39] [emoji39][emoji8] nimekubambaaa
Jirani huoni anatuwekea mazingira magumu wengine[emoji23] [emoji23]Acha tuu aendelee kuzitoa hizo siri jirani yangu
Ndio mjifunze kuwa waaminifu jamani loh [emoji4]Jirani huoni anatuwekea mazingira magumu wengine[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio mjifunze kuwa waaminifu jamani loh [emoji4]
Umeniacha hoi hapo kwenye kamati ya Ufundinimeacha ule wehu mwenyewe mpaka nahisi kamati ya ufundi inahusika.
hiyo mbinu ni ya kale,sema wahenga hatukutaka mtu ajue,huyo jamaa nae kashtukia na kumwaga mchele kwenye kuku wengi,kaharibu sana angekausha tuKila kukicha kuna mbinu mpya za uchepukaji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Enzi zangu naishi na wife tukiwa wachumba nilikua nacho kimoja kilikua kinashinda ndani ya motokaa tu hakikuwahi kuingia ndani na kilikua kwenye silent mode sasa siku moja nikajisahau nafika getini nnacho mfukoni na bibie ndio anafungua mlango nilipiga sarakasi ya ghafla mpaka najiuliza kwa nini sijashiriki mashindano ya Olympic maana kipaji kumbe nnacho sio kwa msarakasi ule duh ila baada ya kuoa sijapigiwa hata tarumbeta nimeacha ule wehu mwenyewe mpaka nahisi kamati ya ufundi inahusika.
Umeniacha hoi hapo kwenye kamati ya Ufundi
[emoji3] [emoji3] nimeenda kijiweni sijakukuta nikasema lzm nikukute hukuu ukitafuta michepuko[emoji41][emoji39] [emoji39] [emoji39]
Kumbe tulikuwa tunatafutana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3] nimeenda kijiweni sijakukuta nikasema lzm nikukute hukuu ukitafuta michepuko[emoji41]