Hii simu ndogo ya tochi inatubeba sana

Hii simu ndogo ya tochi inatubeba sana

Enzi zangu naishi na wife tukiwa wachumba nilikua nacho kimoja kilikua kinashinda ndani ya motokaa tu hakikuwahi kuingia ndani na kilikua kwenye silent mode sasa siku moja nikajisahau nafika getini nnacho mfukoni na bibie ndio anafungua mlango nilipiga sarakasi ya ghafla mpaka najiuliza kwa nini sijashiriki mashindano ya Olympic maana kipaji kumbe nnacho sio kwa msarakasi ule duh ila baada ya kuoa sijapigiwa hata tarumbeta nimeacha ule wehu mwenyewe mpaka nahisi kamati ya ufundi inahusika.
Hahahaaah,... Uko vzr.... Na hiyo haileti mgogoro kabisaaa... Safiii!
 
hiyo mbinu ni ya kale,sema wahenga hatukutaka mtu ajue,huyo jamaa nae kashtukia na kumwaga mchele kwenye kuku wengi,kaharibu sana angekausha tu
Naomba msamaha jamani... Jambo hili ni pigo kwa wengi. [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Swahiba kamati za ufundi zipo ujue,siku hizi hata niwe nimesafiri siwazi kabisa kulizua yaani nahisi kama ananiona au ananivizia kwa kifupi kama namuona ivi sasa hapo si kamati hii nimekaliwa.
Daaaah, una moyo nzr saana.. Hata ugenini!
 
Hiyo ya kubadili chip zaid ya moja ni old version smartphone ina kila unachotaka kufanya na kwa ufanisi mkubwa ni jinsi wewe kuwa na uwezo na maujanja ya kutumia.. Mbona Kuna applications kibao za kukulinda ewe mchepukaji!!

Eg. VAULT etc.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom