Hii simu ndogo ya tochi inatubeba sana

Hii simu ndogo ya tochi inatubeba sana

Nanoli

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2015
Posts
3,739
Reaction score
5,978
Hii simu ndogo ina shughuli kubwa na ya msingi sana kwa wale walioamua kuficha mawasiliano yasiyo rasmi kwa watu ambao wako kwenye mahusiano.

Mwanamke akitaka kupekua matumizi ya simu, hukimbilia ile kubwa (smartphone) akiamini matumizi mabaya hupatikana kwenye simu kupitia mitandao ya kijamii. Ataiacha ile ndogo akijua hamna kitu.

Kwa utafiti wangu, nimegundua walio wengi, kila mwenye simu kubwa ujue ana kisimu kidogo ambacho kinatumia line zaidi ya nne, akiwa kitaa kuna line zinatumika ambazo hata nyumbani mwenza wake haijui kabisa.

Simu ndogo zinazibeba ndoa nyingi, ndicho nilichokiona.
 
Kwenye simu ndogo hamna ujumbe na picha kwa pamoja, kwo ata akikuta ujumbe unaweza ukawa batili. Ujumbe mzuri unasindikizwa na picha. Mahakamani ushahidi ndo kitu muhimu kuamua kesi.
 
Mi situmii cm ndogo, picha za kumma, manyonyo, visimi na sauti za mahaba nitazipataje bila kutumia cm kubwa?

Wakati mwingine unakutana na mtu kwa njia ya kuchati na kutumiana sauti kama vile mnato.mbana live hadi unajikuta ub.oo umedinda na shahawa zinamwagika kama uji wa lishe vile
 
Acha kunisingizia labda nianze na wewe... Huyo kuna mada nyingine anayo..kasema kabisa anachepuka.
demi, Ile mada inahusiana vipi na hii.... Teeteeeh!
 
Mi situmii cm ndogo, picha za kumma, manyonyo, visimi na sauti za mahaba nitazipataje bila kutumia cm kubwa?

Wakati mwingine unakutana na mtu kwa njia ya kuchati na kutumiana sauti kama vile mnato.mbana live hadi unajikuta ub.oo umedinda na shahawa zinamwagika kama uji wa lishe vile
Daah! Hatar sana
 
Back
Top Bottom