International year kwa pamoja.Kila nchi wana kalenda zao na imani zao.HABARINI WAKUU HIVI LEO NI SIKUKUU YA NINI ?
Ni tungo tata. Inahitaji utulivu kuielewaAfya ya akili ipo sawa kabisa hii siku ingekuwa kama siku nyingine tu wengine tulala usiku makelele baruti kama tupo Somalia
Reply yako ilikuwa sahihi sana kasoro utetezi wakoNieleweshe nitakuelewa
Kitu kinachoitwa sikukuu ni phenomenon ni kitu cha kufikirika.. Mind created unseen object. Hivyo kwenye swali lako labda ungeuliza Sikuu ya mwaka mpya ni ya niniSawa Kaka nieleweshe kwa upole nitakuelewa
Kuhusu reply yangu ya Afya ya akili mimi sikukulenga wewe bali wale wote wanaowehuka na kupata wazimu na kitu cha kufikirika kilichotungwa na binadamuNieleweshe nitakuelewa
Sasa mbona akili zako zinadai kumhitaji Mwamposa!Hapana mimi pale siwezi kwenda hata bahati Mbaya