Hii sikukuu niya nini?

Hii sikukuu niya nini?

Kuhusu reply yangu ya Afya ya akili mimi sikukulenga wewe bali wale wote wanaowehuka na kupata wazimu na kitu cha kufikirika kilichotungwa na binadamu
Ngoja niipangie tarehe ya maadhimisho ya nyeto duniani nione watakaowehuka niwangapi.
 
Maisha ya mtu yamebase kwenye siku moja moja sasa why uzikusanye siku 365 ndio ushukuru badala ya kushukuru kila siku
 
Back
Top Bottom