Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,154
- 13,267
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wanachama wa UVCCM wa vyuo vikuu mkoani Tabora waliomtembelea Ikulu ndogo mkoani humo usiku wa kuamkia leo. Pamoja na mambo mengine Rais Kikwete aliwataka vijana hao kuzingatia masomo kwa nguvu zao zote, akisisitiza kwamba elimu ni ufunguo wa maisha hivyo wasome kwa bidii ili nchi ipate wasomi waliobobea katika kila nyanja katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo.
My Take: RAIS ni wa Vijana wote, wasomi wote, vyama vyote, kama kichwa kingekuwa Mwenyekiti wa CCM ningeelewa, lakini RAIS???? alipaswa kukutana na wawakilishi wa wasomi (of course hata ingemsaidia kupata mawazo wakilishi badala ya mawazo CHAMA) na ikibidi kama ni wa UVCCM hata wa BAVICHA etc angekuatna nao kama RAIS tu..............sijui wenzangu mnasemaje .....