Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,863
- 14,350
hhaaa haa haaa haa hapana bana ile topic haina muda mrefu tangu ailete hapa jukwaani. ila huwa niikingia na kucomment kwenye thread ni lazima nijue imetumwa na nani!!!
Hao kiama itaamuliwa iweje kwaosasa wale machangudoa wanaojiuza je wao hata ICC nahis watashidwa kuamua kesi....
sasa wale machangudoa wanaojiuza je wao hata ICC nahis watashidwa kuamua kesi....
hhaaa haa haaa haa hapana bana ile topic haina muda mrefu tangu ailete hapa jukwaani. ila huwa niikingia na kucomment kwenye thread ni lazima nijue imetumwa na nani!!!