Hii si sawa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii si sawa!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The Hunter, Jan 22, 2011.

 1. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Huwa najiuliza hawa waeka threads zenye title labda wadada tuu, wakaka tuu, wenye ndoa tuu, wamama tuu nk.

  Huwa wanadhamiria kweli hao watajwa? je kimtazamo huwa wanalenga hisia flan ziwe kama zilivyo na pasiwepo na watu wa aina nyingine kutoa mawazo yao au kama ni tuhuma wale watuhumiwa wa upande wa pili wasipate nafasi ya kuchangia.
  Me naamini hii si sawa, weka thread na usilimit watu, ili kusudi upate michango ya pande zote, maana dunia ya leo wote tunafahamu mambo ya jinsia zote, mfano
  kama ukileta mada ya namna ya kumuhudumia mama aliyejifungua Then unasema kwa wamama tuu, ina maana hujui majira yetu leo hata wanaume tunawajibika kufahamu na kuhudumia inapobidi?
  wadau sijui nyie mnasemaje?
   
 2. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nami huwa nashindwa in some instances kutoa michango kuwapo na mipaka, coz nakuwa sipo eligible kushiriki japo sijulikani jinsia.
  Angalizo zuri.
   
 3. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  [/IMG]Avatar mkuu...hivi wewe ndio mchunguliaaaaa...AU...Mchunguliwaaa?!!!:)
   
 4. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni mchungulia huyo...
   
 5. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  kwa heri...naenda kaunta kusukutua kidogu!!!:suspicious:
   
 6. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #6
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kusukutua????
   
 7. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #7
  Jan 23, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Hapo ni utathiminishaji, kama mchakachuo ushatia maguu hapo.
   
 8. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #8
  Jan 23, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ok...kuchakachua...ooops...kuzimua:)...upo?
   
 9. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #9
  Jan 23, 2011
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hivi we jinsia gani tena?
   
 10. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #10
  Jan 23, 2011
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Maguu?
   
 11. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #11
  Jan 23, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Na wewe je?
   
 12. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #12
  Jan 23, 2011
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hujajibu swali.
   
 13. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #13
  Jan 23, 2011
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,819
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  hao wanao-limit wachangiaji wanataka kuhawilisha matumizi ya Jf
   
Loading...