Hakuna shida kwenye swali, ni zuri sana majibu yangeweza kutusaidia wengi. Ila Kumbuka JF hili jalala kila takataka ziko humu. Hivyo tegemea chochote.Kuna shida gani kwa alichouliza?

Wanaume wanaongezeka kwa kasi huku wanamume nao wanapungua kwa kasi pia..Mwanaume mzima unapata msongo kwa kushindwa ku view status za WhatsApp?? Hata aibu huoni