Huyu bwana ni KAIMU Katibu Mkuu sio NAIBU. Hajui lolote kuhusu siasa za umeme nchi hii. Jamaa alikuwa hazina kwa masuala ya bajeti.
Mh WildCard yeye kutoka hazina hakujustify kutoa majibu kama mwendawazimu. Hakuna sababu yeyote inayoweza kutolewa ikakidhi haja kuonesha kwamba alichojibu ni sahihi. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu asiyejua madhara ya mgao wa umeme.
Tutajuaje sisi wasomaji/wasikilizaji kwamba, majibu ya naibu Katibu Mkuu huyo yalikuwa ya dhihaka? Binafsi sioni kama swali hilo lina tatizo. Maana ukiangalia, muuliza swali hakika alitaka tu kufahamu kwamba, Serikali pamoja na kusababisha kuwepo kwa janga la mgawo wa umeme, ilikuwa vyema pia kutambua sasa athari za janga hilo kwa umma. Maana kujua athari huleta msukumo wa kutafuta njia za kutatua kwa haraka tatizo husika. Aidha, swali hilo pia kwa upande mwingine linakuwa kama linakumbusha hatari ya nchi kuwa gizani pale ambapo madhara yanapowekwa hadharani. Ni sawa na swali walilowahi ulizwa wakuu wetu wa nchi na mashirika ya habari duniani kama BBC kuhusiana na sababu za nchi yetu kuwa masikini. Hivyo basi, sioni sababu kwa wewe kumponda muuliza swali. Maana ni kweli kwamba, wananchi tunatambua madhara ya mgawo wa umeme, lakini je, Serikali yetu inatambua kwa mapana gani? Hilo ni swali la msingi sana kuulizwa.Waandishi wa tz vihiyo kweli.hivi unaweza ukauliza swali la kijinga kama hilo kama kweli ni professional?.mbona yapo maswali mengi ya kuuliza watu hao?.ndio maana jamaa alimjibu kwa dhihaka namna hiyo.hata mkapa anawafaham kuwa ni makanjanja.
Tutajuaje sisi wasomaji/wasikilizaji kwamba, majibu ya naibu Katibu Mkuu huyo yalikuwa ya dhihaka? Binafsi sioni kama swali hilo lina tatizo. Maana ukiangalia, muuliza swali hakika alitaka tu kufahamu kwamba, Serikali pamoja na kusababisha kuwepo kwa janga la mgawo wa umeme, ilikuwa vyema pia kutambua sasa athari za janga hilo kwa umma. Maana kujua athari huleta msukumo wa kutafuta njia za kutatua kwa haraka tatizo husika. Aidha, swali hilo pia kwa upande mwingine linakuwa kama linakumbusha hatari ya nchi kuwa gizani pale ambapo madhara yanapowekwa hadharani. Ni sawa na swali walilowahi ulizwa wakuu wetu wa nchi na mashirika ya habari duniani kama BBC kuhusiana na sababu za nchi yetu kuwa masikini. Hivyo basi, sioni sababu kwa wewe kumponda muuliza swali. Maana ni kweli kwamba, wananchi tunatambua madhara ya mgawo wa umeme, lakini je, Serikali yetu inatambua kwa mapana gani? Hilo ni swali la msingi sana kuulizwa.
Huyu bwana ni KAIMU Katibu Mkuu sio NAIBU. Hajui lolote kuhusu siasa za umeme nchi hii. Jamaa alikuwa hazina kwa masuala ya bajeti.
Waandishi wa tz vihiyo kweli.hivi unaweza ukauliza swali la kijinga kama hilo kama kweli ni professional?.mbona yapo maswali mengi ya kuuliza watu hao?.ndio maana jamaa alimjibu kwa dhihaka namna hiyo.hata mkapa anawafaham kuwa ni makanjanja.
Jana nilisikitishwa na kauli ya Naibu katibu mkuu wa Wizara ya nishati na madini alipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari ktk kongamano la wadau wa Umeme.
Ndg zangu hayo ndo yalikuwa majibu ya mdosi huyu. eti hajui madhara tunayoyapata na hajapokea malalamiko ya wananchi. kweli kazi ipo kwa serikali hii.
- Mwandishi alimuuliza hivi: Mh. Naibu katibu, ni madhara gani ambayo wananchi wameyapata tokea matatizo ya mgao wa umeme yaanze hapa nchini?
- Naibu katibu mkuu: Sijapata malalamiko yoyote kutoka kwa wananchi kuhusu madhara waliyoyapata kutokana na matatizo ya umeme. Na ujue ndg mwandishi nchi zetu za dunia ya tatu haziwezi kumaliza matati yote.
Nawasilisha wadau.