Jana nilisikitishwa na kauli ya Naibu katibu mkuu wa Wizara ya nishati na madini alipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari ktk kongamano la wadau wa Umeme.
Ndg zangu hayo ndo yalikuwa majibu ya mdosi huyu. eti hajui madhara tunayoyapata na hajapokea malalamiko ya wananchi. kweli kazi ipo kwa serikali hii.
Nawasilisha wadau.
- Mwandishi alimuuliza hivi: Mh. Naibu katibu, ni madhara gani ambayo wananchi wameyapata tokea matatizo ya mgao wa umeme yaanze hapa nchini?
- Naibu katibu mkuu: Sijapata malalamiko yoyote kutoka kwa wananchi kuhusu madhara waliyoyapata kutokana na matatizo ya umeme. Na ujue ndg mwandishi nchi zetu za dunia ya tatu haziwezi kumaliza matati yote.
Ndg zangu hayo ndo yalikuwa majibu ya mdosi huyu. eti hajui madhara tunayoyapata na hajapokea malalamiko ya wananchi. kweli kazi ipo kwa serikali hii.
Nawasilisha wadau.