Hii Serikali inayotamba kwamba ina hela nyingi mpaka sasa imeshindwa kuikomboa bombadia?

Serikali yetu imekuwa na tambo nyingi kwamba ina mahela mengi mno,lakini tangu bombadia ikamatwe,zaidi ya miezi miwili sasa,serikali hii imeshindwa kulipa vibilioni vichache tu kuikomboa

Sasa je mkakati wetu wa kuwa DONA kantri(may be unga wa dona)utafanikiwa?
unaongea pumba kama umekunywa viroba
 
tumekopa usd 500M kwa riba ya usd 400M, tutatumia sehemu ya mkopo huo kuikomboa! deni mtalipa nyie penda msipende!
 
hawana hela wala nini, wangekuwa na hela wasingemwaga askari barabarani ili tu wakamate magari ili wao wapate hizo hela

kama serikali ingekuywa na hela matumizi yake yangeakisi uhalisia ulio mitaani
 
Umeandika nini?

33dedb0c49eb9fa811f290734b0d9c39.jpg


Anausika na mauaji



Swissme
 
Mkuu upo dumia hii au? tumia muda wako kusoma au kuuliza kabla ya kujimwaga huku.
Unachokiamini sicho! Hakuna sehemu serikali ya Tz imekurupuka katika kuvunja mkataba. Ingekuwa vizuri zaidi kama ungekuja na fact sio kulalama tu.
 
Kulipa deni kunahitaji mikakati gani ya ziada??
Acha uzwazwa.a
Deni la serikali sio kama deli la kukopa nyanya gengeni kwa mangi. Pesa ya serikali haitoki mpaka pale inapofanyiwa mchakato rasmi, mbali na bajeti yake ya kulipa madeni kila mwaka. Serikali haitoi pesa kulipa deni isipokuwa tu kama malipo hayo ya deni yapo kwenye bajeti.
 
TAL hajafa ana roho ngumu km nini. Siku akili kick the back tu hiyo ooooh bombad tayari
 
Mwenye hela hawezi kukopa $500 million arudishe $900 million kwa miaka mitano.
Akili kumkichwa
 
Back
Top Bottom