Hii sensa inatutoa jasho kwakweli!

Marathon day

JF-Expert Member
Jan 31, 2020
604
942
Yani sensa, nimeamka tangu saa 12 asubuhi najua watafika fasta nisepe zangu. Familia Iko mkoa na mimi nipo peke yangu home, kifatacho ikifika saa 6 kamili mchana nafunga mlango na mageti nasepa kwenye mishe zingine!

Nawaza niandikie number za simu getini? Tatizo vishkwambi vyao vimewezeshwa na talk time? Hii naona itakuwa changamoto kwa watu wengi.
 
Acha taarifa zako kwa jirani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…