Hii screenshot ya huyu dada imekaaje ?!

Mallerina amekuja hata kunishtua kweli, sio vizuri hivyo 😞
 
Mwambie azae kama anajiweza maisha ndio haya hayaa wewe unasex na hujajipanga wanaume wa leo wao ni mimba tu wanaweka na wanasepa .

Halafu jingine mie nimewakataa nadeal na maisha yangu .

Akija mtu anayejitambua basi tunakuwa wana tunalea . Wanaume waleo wanakukula na kukuzalisha ila hela hana .

Ila mtoto atakuwa atakuheshimisha na watoto ni baraka . Na utafurahia kuwa mzazi ni kazi ila maisha ni haya haya .
 
Tamaa mbaya...wanataka easy life, easy money...yaani wadada Hadi wadanganywe ndo wanakubali, atakuja kutukana wanaume wabaya wakati yy mwenyewe ameshindwa kusoma alama za nyakati..
 
Mimba asitoe ni dhambi kubwa kuuwa mtoto asiye na hatia

Ila namhurumia sana kapewa mimba na mwizi wa tv

Wadada mpendeni MUNGU mwomben MUNGU awajalie macho ya rohoni lakin pia achen kupenda fake life na unapoamua kufake life ndo unajikuta unaangukia mikonon mwa fake boy

Pole yake sana

Mimi mwenyewe hapa maisha yangu magumu lakin siwezi fikia hatua ya kuiba mpaka tv na kudanganya maisha yangu
 
Akibahatika kuwa single mother atarudia tu.
 
kumbe kijana ni yatima kwanzia mwaka 2004 alipoteza wazazi
Dah
nimemwambia aleee
 
Kijana Alidanganya baada ya maisha kumrudisha nyuma kifedha
 
Kijana kakubali kulea ila maisha hayamfavor bado
 
Acheni upumbavu eti atoe mimba mama zenu wangetoa mimba msingekua hapa wakati baba zenu maskini tu, majinamizi roho mbaya tamaa mbele! We teacher fekero na mtoa mada majinga sana akili fupi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…