Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
AN !! ndugu chunguza poti inaleta alergyi na mwasho vichanga wana sensitive soft skin!!
hebu tuwe wakweli sikuhizi wake wengi wapo online na macho kiganjani bize 24/7 !!
hapo anamkalisha anasahau hadi anapata alama ya pot kisa kuchat na kina ZZ