"Hii sasa ni zaidi ya hatari"....Be careful

"Hii sasa ni zaidi ya hatari"....Be careful

Existentialist

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
554
Reaction score
377
Ilikuwa yapata mida ya saa kumi na mbili natoka ofisin nimebeba bag langu la laptop....ofsn kwetu ni karibu na chuo fulan cha uhasibu nikawa natembea miguu kwan sijabahatika kupata usafiri....

Wakati natafakari nikifika nipike nn kwan bado niko "bachelor", njian nikakutana na binti mrembo sana tena sana akawa anatembea anaelekea maeneo ya chuo...

Bhana eeeh c unajua mtu ukiwa katika harakati za kutafuta mchumba unatupa huku na huku, nikaamua nimpe hi then nikaomba namba ili tuwe tunawasiliana....

Baada ya muda mawasiliano yalikuwa makubwa sana tena sana akawa anakuja hadi ofsn kwangu......

Kilichofanya nilete hii mada hapa ndan ni siku huyu binti alipokuja ndan kwangu.....

Ili ajionyeshe kuwa yeye ni salama i mean kashapima akaja na cheti cha angaza akiwa amekipiga picha kikiwa kwenye cm yake.....hilo suala linitia hofu kidogo kwan sikuamini kama ni kwel au danganya toto...

Siku hyo alidai anataman kuwa na mm kimapenz...., nashukuru nimepewa uwezo wa kuvumilia nilimkatalia nikamwambia nashukuru yy kapima bt hapaswi kuniamni mm nikamuomba asbh yake tukapime ili wote tuwe na uhakika tufaidi penz letu kwa raha....

Huwezi amin asbh nikachukua tax nikambeba ili tukapime, tulipofika sehemu husika nikaomba nikamuone doctor then nitamuita......eeeeeeeeeh niliporudi sikumkuta na simu yangu hakupokea tena na sijawah kumuona tena....

Vijana tuwen makini hii ni zaidi ya hatari kama watu wamefikia kuforge vyeti vya angaza...????
 
Nimekumbuka, huyo ndo yule nanii wa mwenge kahamia huko then baada ya muda a akuja na kisa kingine. Hapo si ni pale cb-i.. au if-em.. au ti-ei..?
 
Hahahaaaaaa!!! kaka ingekula kwako big up kwa kuvunga la sivyo daaaah yangekuwa mangine sasa.
 
... nikaomba nikamuone doctor then nitamuita.........
ha!!!!lakini na wewe ulitanguliaje kwa doctor peke yako!!ulienda kuweka mambo sawa kabla hamjaingia wote!!!!
 
Utakuwa unamjua huyu dada alinambia anaishi dar......eti makongo......
 
hapana kaka nilikuwa natafuta maelekezo mazuri kwan mm si mwenyeji wa maeneo ya huku.......
 
Hahahaaaaaa!!! kaka ingekula kwako big up kwa kuvunga la sivyo daaaah yangekuwa mangine sasa.
ila jamaa naye kama hajiamini!!aliendaje kwa daktari peke yake!!alienda kurekebisha majibu....!!!!
 
hapana kaka nilikuwa natafuta maelekezo mazuri kwan mm si mwenyeji wa maeneo ya huku.......
sawa Cargo siku nyingine muingie wote mkapate hayo maelekezo!!sasa baada ya kimwana kusepa ulipima peke yako au uliahirisha!!
 
Last edited by a moderator:
Ndo kwa kutuambia au nae alikuwa na mipango miji? kakutana na zaidi yake ila daaaah mchiz kacheza kinyama mi nimemkubali kama kweli!
 
Kwanini ulienda peke yako kwa Dr. Au ulienda kurekebisha mambo?
Bytheway hongera kwa kutokuwa mroho wa kula tuna, ingekutokea puani.
 
sawa Cargo siku nyingine muingie wote mkapate hayo maelekezo!!sasa baada ya kimwana kusepa ulipima peke yako au uliahirisha!!

Ofcz, ilikuwa imepita kama mwezi mmoja nimuongezee damu dungu yangu so nilikuwa nimeshapima na nilikuwa najiamini tena sana....ila mbwembwe zake zilinitisha......
 
Ofcz, ilikuwa imepita kama mwezi mmoja nimuongezee damu dungu yangu so nilikuwa nimeshapima na nilikuwa najiamini tena sana....ila mbwembwe zake zilinitisha......
ha ha ha ha!mkuu kwa hiyo mbwembwe ndo zilisababisha utake ukampime!vipi kama asingeleta mbwembwe...!!ungekamua bila kumpitisha tbs?
 
ha ha ha ha!mkuu kwa hiyo mbwembwe ndo zilisababisha utake ukampime!vipi kama asingeleta mbwembwe...!!ungekamua bila kumpitisha tbs?

Jaman niko kwenye mchakato wa kumtafuta dada nitakaye ishi nae kwenye maisha.....so hakuna kumega hapa mpaka ndoa.....taratibu zote zingefuata.......aliye tayari anakaribishwa ila awe tayari kupima....." Send private sms na picha"....ahahahahahah
 
Hahahahaaaa!!! ujakoma tuu???
 
Back
Top Bottom