"Hii sasa ni zaidi ya hatari"....Be careful

"Hii sasa ni zaidi ya hatari"....Be careful

Ilikuwa yapata mida ya saa kumi na mbili natoka ofisin nimebeba bag langu la laptop....ofsn kwetu ni karibu na chuo fulan cha uhasibu nikawa natembea miguu kwan sijabahatika kupata usafiri....

Wakati natafakari nikifika nipike nn kwan bado niko "bachelor", njian nikakutana na binti mrembo sana tena sana akawa anatembea anaelekea maeneo ya chuo...

Bhana eeeh c unajua mtu ukiwa katika harakati za kutafuta mchumba unatupa huku na huku, nikaamua nimpe hi then nikaomba namba ili tuwe tunawasiliana....

Baada ya muda mawasiliano yalikuwa makubwa sana tena sana akawa anakuja hadi ofsn kwangu......

Kilichofanya nilete hii mada hapa ndan ni siku huyu binti alipokuja ndan kwangu.....

Ili ajionyeshe kuwa yeye ni salama i mean kashapima akaja na cheti cha angaza akiwa amekipiga picha kikiwa kwenye cm yake.....hilo suala linitia hofu kidogo kwan sikuamini kama ni kwel au danganya toto...

Siku hyo alidai anataman kuwa na mm kimapenz...., nashukuru nimepewa uwezo wa kuvumilia nilimkatalia nikamwambia nashukuru yy kapima bt hapaswi kuniamni mm nikamuomba asbh yake tukapime ili wote tuwe na uhakika tufaidi penz letu kwa raha....

Huwezi amin asbh nikachukua tax nikambeba ili tukapime, tulipofika sehemu husika nikaomba nikamuone doctor then nitamuita......eeeeeeeeeh niliporudi sikumkuta na simu yangu hakupokea tena na sijawah kumuona tena....

Vijana tuwen makini hii ni zaidi ya hatari kama watu wamefikia kuforge vyeti vya angaza...????

:sorry:

Chezea mabinti wa mjini wewe, watu wako kikazi zaidi ya utu. inatisha lakini
 
Mzima mpendwa
vinapatikana haswa bila shaka idadi unayotaka

Mzima ndugu yangu......

Kwa mtaji huu maambukizi yatapungua sana eti....kama kila mtu atajijali na kumjali mwenzie na kuchukua maamuzi ya kupima kabla ya kuanza mahusiano.
 
yap....huo ndo ukwel na msimamo wangu

Una msimamo na malengo kimaisha ndugu yang hongera, Katika vijana 100 hata 10 cdhani kama unaweza kupata wenye msimamo na umakini wa hivyo kwa maisha ninayoona vijana wakiishi leo.
 
angaza huwa wanatoa cheti? mi sijawai kupewa nilishaenda sana
 
na wewe unamashaka ilikuwaje hadi uingie kwa dokta mwenyewe?ulimtia hofu ndo mana akatoka nduki mana kitendo cha wewe kuingia kwa dokta peke yako kilimpa jibu kuwa UNAENDA NUNUA MAJIBU akaona unataka kumuuzia mbuzi kwa gunia! by the way kama nia ilikuwa njema congratulation!!!

ha ha ha ha ha ha Munkari
hivi unafikiri kupima HIV ni kazi rahisi hasa kwa Mzinzi?
Tuliowahi kupima tunaujua mchakato ulivyo,hata ukiwa innocent kama mimi The Magnificent,katika zoezi lile....lazima utafakari mara mbilimbili....



 
Last edited by a moderator:
Aisee! wengne si wangeamua kutumia mipira halfu swala la kupima lifuate...!? Inabidi kuongeza umakini, maana pengine kama ungeanza kwa mpira ungeishia pabaya na kukumbuka shuka kumekucha. Umeleta somo zuri la kuzingatiwa katika maisha
 
Aisee! wengne si wangeamua kutumia mipira halfu swala la kupima lifuate...!? Inabidi kuongeza umakini, maana pengine kama ungeanza kwa mpira ungeishia pabaya na kukumbuka shuka kumekucha. Umeleta somo zuri la kuzingatiwa katika maisha
 
Sio Jane wa Mwenge? jamanio tuweni makini vitotots vipo tu ila ni hatari sana kosa moja laweza kughari miasha yetu milele
 
baba mbichi nitamu balaa ...niwachache wene uvumilivu wa kuwait mpaka mpime ..na ukipa je hayo ni majibu sahihi y not condom tuu kama hutaki kula mbichi.
 
Back
Top Bottom