Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,005
Hitimisho:
Kwa wale wasio jua na wanaona hiyo karaha ya kutoa harufu mbaya mdomoni inawezwa kumalizwa kabisa kwa kusafishwa MENO(dental clinics) na kisha kuzingatia kupiga mswaki kwa ufasaha.Imethibitika kwamba ni ngumu sana kwa binadamu kupiga mswaki na kufanya meno yake yake masafi kwa 100%.
Nawasilisha!
Kumekuwa na wimbi la watu wengi kunuka midomo haijalishi ni mwanaume au mwanamke,utakuta mwanamke mzuri kajipamba na kupendeza na lipstick mdomoni,lakini pindi unapoongea naye utakuta mdomo unatoa harufu kama choo cha TAZARA.
Pia utamkuta brother man ,katupia pamba za ukweli,lakini ukifungua mdomo unanuka zaidi ya choo,wengine mpaka rangi za meno nazo hubadilika.
Changamoto kwenye ndoa/mahusiano ya kimapenzi:
Hili tatizo la kunuka mdomo/kutoa harufu mbaya imepelekea watu wengi kushindwa kupigana mabusu haya kulana mate hali kadhalika kutosogeleana na hivyo tendo la ndoa kufanyika chini ya kiwango.

kwa hiyo kazi yako ni kunusa midomo tu ?
Suala la utanabahi wa usafi wa kinywa kwa watu wengi, hususan hapa Tanzania, ni janga.
Jaribu tu hata kufanya tathmini isiyo rasmi na utagundua hicho nilichokisema.
Watu wengi hawajui kuwa harufu ya mdomo kwa kiasi kikubwa sana husababishwa na bakteria wanaorundikana kwenye sehemu ya nyuma ya ulimi na mazingira ya joto ya mdomo ndo hushamirisha ukuaji ama uongezekaji wao.
Kwa kadri hao bakteria wanavoongezeka ndo harufu nayo inazidi kuongezeka.
Sasa jaribu kuuliza ni watu wangapi ambao hukwangua ndimi zao kwa kutumia kikwangua ulimi. Ni wachache mno wafanyao hivyo.
Usafi madhubuti wa kinywa ni mjumuisho wa mambo kadhaa ni si kupiga mswaki na kusugua meno tu.
Ni kuanzia kusafishwa kinywa kwa mganga wa meno [hii hapa nchini ni ngumu sana kutekeleza], kutumia nyuzi nyembamba kuondoa mabaki ya vyakula yaliyokwama kwenye meno, kusugua paa la kinywa, kukwangua ulimi kuanzia kule chini kabisa, kusuuza mdomo kwa kutumia maji ya uvuguvugu, na kuhakikisha hufungi mdogo kwa muda mrefu bila kuruhusu hewa ya oksijeni kuingia na kuzunguka.
Hii ya kuruhusu hewa ya oksijeni kuingia haimaanishi ufungue mdogo tu ili hewa iingine. Hapana. Inahusiana na kunywa maji kila baada ya muda fulani.
Nafikiria hapo baadae nije kuanzisha semina za kufundisha watu namna ya kufanya na kutunza usafi wa kinywa.
Mimi ni mtu ninaye ongea na watu wengi kwenye harakati zangu za kutafuta ridhiki,sasa ukiongea na mtu na kama pua yangu iko vizuri nitakosa kunusa hewa chafu itokayo mdomoni? Au wewe unataka ninuse na sehemu gani nyingine? Nilichokieleza hapo juu ni tatizo sugu kwa watu wengi sana,wenyewe wanajijua na kimya kimya wanakubali huu uzi.
Una uhakika hao unaoongea nao hakuna unaowakera kwa harufu yako ya mdomoni. Kumbuka unaowasema wananuka mdomo hawajui kama wananuka kama ambavyo wewe hujijui...
Comrade hapa hata mimi umenipa elimu....
Sijawahi kuona hiki kitu umesema "kikwangua ulimi". Kama ni hii hii miswaki yetu ya kibongo kuna hatari watu wakachubua ndimi zao. Ulimi kwa upande wa chini naamini ni laini kuliko upande wa juu... Hili la kusugua paa la kinywa ndo nimelisikia leo, ntalifanyia kazi.
Ahsanta kwa ilim sheikh....
Oh yeah, vikwangua ndimi vipo Komredi. Na amini usiamini sehemu ya chini ya ulimi wala haiko laini kivile.
Mtu mwenye akili yako timamu kwa nini usijue kama mdomo wako unanuka,kuna vitu vingi vya kujaribu then unapata majibu moja kwa moja.Mimi sikuwahi kunuka mdomo nilijua namna ya kuzuia tatizo hilo,kila baada ya miezi sita nafanya check up ya kinywa kwa wataalamu,shida ya watanzania wengi hawaendi hospitali hadi waumwe sana.
ingekuwa wanasikia harufu wenyewe sidhani kama wangerusu hiyo hali.
Kumekuwa na wimbi la watu wengi kunuka midomo haijalishi ni mwanaume au mwanamke,utakuta mwanamke mzuri kajipamba na kupendeza na lipstick mdomoni,lakini pindi unapoongea naye utakuta mdomo unatoa harufu kama choo cha TAZARA.
Pia utamkuta brother man ,katupia pamba za ukweli,lakini ukifungua mdomo unanuka zaidi ya choo,wengine mpaka rangi za meno nazo hubadilika.
Changamoto kwenye ndoa/mahusiano ya kimapenzi:
Hili tatizo la kunuka mdomo/kutoa harufu mbaya imepelekea watu wengi kushindwa kupigana mabusu haya kulana mate hali kadhalika kutosogeleana na hivyo tendo la ndoa kufanyika chini ya kiwango.
Hitimisho:
Kwa wale wasio jua na wanaona hiyo karaha ya kutoa harufu mbaya mdomoni inawezwa kumalizwa kabisa kwa kusafishwa MENO(dental clinics) na kisha kuzingatia kupiga mswaki kwa ufasaha.Imethibitika kwamba ni ngumu sana kwa binadamu kupiga mswaki na kufanya meno yake yake masafi kwa 100%.
Nawasilisha!
mkuu yaan wee acha tu ni sheeda yaan unakutana na mkaka mzuri kapigilia mbaya akiongea sheeda.
Bora mwendelee kunichamba naringa kuriko kukubari mtu mchafu.
Wengine ugonjwa wetu kiss yaani sio fair. Wengine wakila kachumbari hata hawakumbuki kiswakua yaan mm ujongwa wangu ni usafi mwanaume kama ni msafi kila idala kwangu atawini.
Sio mdomoni tu hata makwapan na sehem za siri mtu ati wiki nzima hajanyoa hapo mkiendaga bafuni mnafanyaga nn???
Jamani mkaka anaejijali ananiukia vizuri mdoomo wake swafi malashi kwa mbali mtamu jamani ila mpaka umpate loh