Hii sasa mtapata asset mnabidi mchangamkie fursa

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
3,924
2,000
Nafikiri kila mtu anajua mmeshapima upepo na kujua mpaka sasa hamna mtu anayeweza kupambana na mgombea wa Ccm. Na macho yenu sasa ni kutaka kupata mtu ambae labda atasaidia kumtikisa mgombea wa Ccm
Kwa hali mbaya mliyo nayo hamna budi kumchukua yule ambae mmekuwa mkinadi kuwa ni kachero mbobezi, Bernad Membe.

Huyu atakuwa ni asset sababu mkichukua atawasaidia kupata wabunge na madiwani wengi. Sababu kundi kubwa litamfuata kama lile lililomfuata Lowassa. Na kwa sababu hiyo mtapata wabunge na madiwani wengi.

Japokuwa ni asset ambayo imesahau kuwa hawa returning officers ndio hao hao walikuwa wakimtangaza kuwa mbunge lakini kwenye urais sidhani kama hata kula laki tano zitafika.

Hivyo kwa sababu ile first eleven yenu ambayo imeshachukua fomu hakuna hata mmoja anayeza kupiga shot on target bora mumchukue huyu ajaribu hata kuonyesha kuwa 2020 mliweka mgombea. Sababu hata yeye anajua kupata hata kula laki tano ni ngumu.

Lakini bora kuweka mgombea kuliko kutoweka hata mgombea kabisa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom