Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,373
- 8,283
Misukule mnapata tabu sana haya gaweni na nyie bavicha (Baraza la vichaa chadema)Mkuu watu huwa wananunua hata gazeti la uhuru, lakini sio kwa ajili ya kulisoma, bali ni kwa ajili ya kupigia magari rangi.
We ndo nenda shule, virus ni moja ya bacteriaHii imeandika "ant bacteria" alafu unaitumia kuua virus, hii ni akili kweli?
Enyi wazazi pelekeni watoto shule zinazotoa elimu sio zinazofundisha UJINGA na UPUUZI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii sio sanitizer ni satnizer bwanaa, tena iko poa sanaaa inaua kila kitu hadi vya vya upizani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wanajidai wapiga zumari kumbe kichwani wamejaza Kamasi badala ya Ubongo.Misukule ya mtaa wa ufipa ni shida kitu kinatolewa bure nakapata bure basi nenda kachukue ya bavicha
Hii ni zaidi ya siasa!
Mkuu, inawezekana ulifunzwa kemia na mwalimu wa voda fasta.. Yani kabla haijachanganywa kutengeneza hiyo gel, Alcohol iliyowekwa humo ina mchanganyiko wa 80% huku 20% ikiwa ni maji...Hawa jmaa na waongo. Alcohol haiwezi kuwa 80% +. Sababu pure alcohol mfano ethanal haizidi 90% alafu apo hujaweka geli ambayo kwenye mchanganiko inatakiwa iwe 50%.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na unaweza kuta ni msaada kutoka Jack Ma umetolewa label ya China umebandikwa ya uvccm 🤣CCM Wana laaana sio bure hizi sanitizer zinadoda kama gazeti Lao la Uhuru
Hivi ni ANTI-BACTETIA auKuna watu wanajidai wapiga zumari kumbe kichwani wamejaza Kamasi badala ya Ubongo.
KweliKuna watu wanajidai wapiga zumari kumbe kichwani wamejaza Kamasi badala ya Ubongo.
Itakuwa hivyo aisee na huu ni msaada kwenda Kwa wananchi Ila wao wamejimilikishaNa unaweza kuta ni msaada kutoka Jack Ma umetolewa label ya China umebandikwa ya uvccm 🤣
Malengo ni mawili, kueneza propaganda na sera ila pia kuongiza kipato ili kutunisha mfuko na kuwezesha malengo na mikakati.Mkuu watu huwa wananunua hata gazeti la uhuru, lakini sio kwa ajili ya kulisoma, bali ni kwa ajili ya kupigia magari rangi.
Huku nilipo yanauzwa kwa kilo 1 sh. 300.Malengo ni mawili, kueneza propaganda na sera ila pia kuongiza kipato ili kutunisha mfuko na kuwezesha malengo na mikakati.
Kwa hiyo kama wananunua tu bila kusoma, ili mradi wanatunisha mfuko, vizuri sana.
Ya kupigia puli tu hiyo