Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,693
Huhitaji elimu ya kemia kuelewa hii simple math. Sanitizer sio alcohol ni combination ya vitu mbalimbali ambavyo vya msingi ni alcohol na geli. Sasa unapataje 80% ya alcohol kwenye sanitizer yenye 50% geli?????Mkuu, inawezekana ulifunzwa kemia na mwalimu wa voda fasta.. Yani kabla haijachanganywa kutengeneza hiyo gel, Alcohol iliyowekwa humo ina mchanganyiko wa 80% huku 20% ikiwa ni maji...
Sent using Jamii Forums mobile app