Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,513
- 8,276
Hii imeandika "ant bacteria" alafu unaitumia kuua virus, hii ni akili kweli?
Mbona umeinunua mbona..
Kwa akili zao watalazimisha ofisi zote za serikali zitumie hiyo sanitizer. Atakae kaidi watamlebo kuwa siyo mzalendo na anakwamisha kukamilika sgr, stigler, mabarabara na mahospitali. Tena watasema ni kibaraka wa mabeberu
Nani kainunua? Acha uzushi we kima.Mbona umeinunua mbona..
...vyama vyetu vya siasa vimeonyesha dharauMbona umeinunua mbona..
Soma Vizuri hiyo JingoCCM Wana laaana sio bure hizi sanitizer zinadoda kama gazeti Lao la Uhuru
Mbona umeinunua mbona..
Hawa jmaa na waongo. Alcohol haiwezi kuwa 80% +. Sababu pure alcohol mfano ethanal haizidi 90% alafu apo hujaweka geli ambayo kwenye mchanganiko inatakiwa iwe 50%.Nimeona Ethyl alcohol ni 80%. Hiyo inatosha kabisa kukuondoa hata wewe, achilia mbali Corona!
Misukule ya mtaa wa ufipa ni shida kitu kinatolewa bure nakapata bure basi nenda kachukue ya bavichaSoma Vizuri hiyo Jingo
Hizo zinatolewa kama msaada/Hisani yaaani for Donation, zinaanzaje kudoda kwa mfano. Nendeni Shule mpunguze upu-mbavu vichwani.