Au watu na kiingereza chao wanakwambia good morning wakati we umeamka na hangover. Wewe ananiona mimi niko na good morning kweli?
Imekaa kishkamooshkamoo
Bora uniambie mambo vipi nijue namna ya kujibu
Unajisikia au unahisi tumbo kukuuma??Shikamooo
Marhaba hujambo?
Najisikia vibaya tumbo linaniuma hakuna ulazma wa kusema sijambo
Ni Mambo ya tamaduni an usipo mwambia shikamoo mtu aliyekuzidi unaonekana gaidi na muhaini huna adabu kabisaaaHuwa najiuliza maswali mengi, kwa ufahamu wangu mdogo najua salamu ni kujuliana hali baina ya watu
Ila napata mkanganyiko kwenye salamu kwa kutumia neno shikamoo maana naona halina maana ya kujua hali kwani ukisalimiwa shikamoo jibu ni marhaba, kwahiyo hata kama unatatzo utajibu marhaba
Mbaya zaidi yule anayekusalimia kama ni mtoto hapati haki yake ya yeye pia kujuliwa hali ila ataulizwa hujambo jibu lake lazima aseme sijambo awe na tatizo au asiwe na tatizo atajibu sijambo
Mimi naona salamu sahihi ni habari yako ,hiyo ndo inaleta uhalisia wa salamu ya kweli.
Soma pia
mkuu ebu toa tofauti hati ya kujisikia na kuhisiUnajisikia au unahisi tumbo kukuuma??
Kuhusu salamu ya "shikamoo", mimi pia sikubaliani nayo, imekaa ki tumwa. Sijui kwa nini wazee wetu hawakuliona hilo wakaifutilia mbali tangu enzi hizo.
Tungebaki na " Habari yako" au "Habari ya Asubuhi, Mchana au Usiku"
Ukiangalia kwenye lugha zetu za asili, salamu imekaa kistaarabu sana.
shikamoo maana yake nipo chini ya miguu yako.Huwa najiuliza maswali mengi, kwa ufahamu wangu mdogo najua salamu ni kujuliana hali baina ya watu
Ila napata mkanganyiko kwenye salamu kwa kutumia neno shikamoo maana naona halina maana ya kujua hali kwani ukisalimiwa shikamoo jibu ni marhaba, kwahiyo hata kama unatatzo utajibu marhaba
Mbaya zaidi yule anayekusalimia kama ni mtoto hapati haki yake ya yeye pia kujuliwa hali ila ataulizwa hujambo jibu lake lazima aseme sijambo awe na tatizo au asiwe na tatizo atajibu sijambo
Mimi naona salamu sahihi ni habari yako ,hiyo ndo inaleta uhalisia wa salamu ya kweli.
Soma pia
Shikamooo
Marhaba hujambo?
Najisikia vibaya tumbo linaniuma hakuna ulazma wa kusema sijambo
Unajisikia au unahisi tumbo kukuuma??
Kuhusu salamu ya "shikamoo", mimi pia sikubaliani nayo, imekaa ki tumwa. Sijui kwa nini wazee wetu hawakuliona hilo wakaifutilia mbali tangu enzi hizo.
Tungebaki na " Habari yako" au "Habari ya Asubuhi, Mchana au Usiku"
Ukiangalia kwenye lugha zetu za asili, salamu imekaa kistaarabu sana.
Ni Mambo ya tamaduni an usipo mwambia shikamoo mtu aliyekuzidi unaonekana gaidi na muhaini huna adabu kabisaaa
mkuu ebu toa tofauti hati ya kujisikia na kuhisi
Hila la shikamoo ni salamu japokuwa watu hatujui maana yake lakn kulingana jamii ilivyozoea itakuwa ajabu sana mtoto wa dalasa la pili akamsalimia mwalimu wake hbr ya asubuhi haita kaa gudi
shikamoo maana yake nipo chini ya miguu yako.
Hii imekaa kitumwa sana
Shikamoo ni kipimo cha umri
Siipendi hata kidogo kuna jirani yangu nikitoka ndani shikamo nikirudi kutoka kazini shikamo mda wowote yeye n shikamo huwa sipendi