Hii punchline ya Jux kwenye wimbo wa Rayvanny Lala...!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,523
Ni ngoma flani laini iko fresh tu lakini nimechoka pale Jux ule mstari anasema:

"Vanessa wanini we don't talk talk, sitaki shobo nishablock block"...

Hapa naona kama hakutumia hekima kwa maana kama r/ship yao iko over na Vee Yuko na yule mwamba Rotimi sijui, na yeye afanye yake. Anyways Ni ngoma nzuri.

 
Jux is loosing it
Nyimbo za zake za zamani zilikua bomba sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom