Kamchagua rais wa zamani mwenye kashfa ya ufisadi kuwa katibu mkuu,sasa watu wanataka na yeye aachie madaraka,sijui atamwondoa katibu au yeye atajiuzulu.
Kamteua kuwa katibu mkuu wa chama ama serikali?Kamchagua rais wa zamani mwenye kashfa ya ufisadi kuwa katibu mkuu,sasa watu wanataka na yeye aachie madaraka,sijui atamwondoa katibu au yeye atajiuzulu.
Wa Serikali,ndio mambo yale yale ya Putin na Dimitry MedivdedKamteua kuwa katibu mkuu wa chama ama serikali?
Wametoa mazungumzo ya siri yaliyorekodiwa kati ya Dilma na Lula.
Dilma kampa kazi Lula, kazi hii inampa Lula kinga ya kushtakiwa kiasi kwamba inaonekana ni kulindana tu.
The NYT reports...
“In Brazil, a poor man goes to jail when he steals,” a fiery left-wing congressman named Luiz Inácio Lula da Silva said in 1988. “When a rich man steals, he becomes a minister.”
Maneno yake mwenyewe yamemrudia.
Patamu hapo.
nafikiri hii ishu hujaijua kiundani.Wapigwe tu maana hakuna namna, wapuzi hao. Wanazingua tu, rais anafaa kuachiwa fursa na uhuru wa kuteua timu yake bila kuzinguliwa kila wakati.
Rais mwenyewe anajua umuhimu na ujuzi wa mteule, na anajua atawajibika kwa hao wananchi wakati wa kutafuta kura upya na watahoji ametimiza malengo yapi, sasa wewe na njaa kwenye kitaa unataka uandamane ili iweje, wapigwe tu hao Brazilians.
Haya mambo ya kuteta dhidi ya uteuzi wa rais huwa yananikera sana, hata hapa kwetu Kenya, rais akiteua tu jamaa hawakawii kuanza kuchambua wateule kwa majina eti kapendelea huku au kule.
Nasubiri siku jaji wa kibongo atakapopata guts za kufanya hivi.
Nasubiri siku jaji wa kibongo atakapopata guts za kufanya hivi.
Alaaa! Kumbe Africa hatupo peke yetu katika tawala za namna hiyo.Wametoa mazungumzo ya siri yaliyorekodiwa kati ya Dilma na Lula.
Dilma kampa kazi Lula, kazi hii inampa Lula kinga ya kushtakiwa kiasi kwamba inaonekana ni kulindana tu.
The NYT reports...
“In Brazil, a poor man goes to jail when he steals,” a fiery left-wing congressman named Luiz Inácio Lula da Silva said in 1988. “When a rich man steals, he becomes a minister.”
Maneno yake mwenyewe yamemrudia.
Patamu hapo.
Angalau wenzetu jaji kapinga.Alaaa! Kumbe Africa hatupo peke yetu katika tawala za namna hiyo.
Angalau wenzetu jaji kapinga.
Tufwatilie siasa za Magufuli?Mnayatakia nini haya MAZUNGU na politics zao? Tufuatilie siasa zetu. Dah wabongo mnakera aise
Hii inahamasisha uwajibikajiNa siyo jaji tu.
Mtu pia zimeingia kitaa kupinga.
Tena kupinga uamuzi wa rais aliye madarakani!