Hii protest ya Brazil sijui rais atafanyaje

Hii protest ya Brazil sijui rais atafanyaje

Bongo fanyeni hivyo kupinga maamuzi ya Rais muone mziki wake!

Wenzetu wanaenjoy true democracy!
 
😀 So what they gained from us? or to us what we gain from them? I thnk hakuns jibu hapo
Ile ni nchi kubwa zaidi kiuchimi kuliko sisi so habari inayotokea kwao ni rahisi sisi kufahamu kuliko lolote dogo litakolotokea kwetu...hii ni principle ndogo tu..BTW hiyo ni habari kubwa ndo maana unaikuta CNN,Aljazeera,BBC,DW,RT nk. So kuna watu wapo interested na hizo habari waache wapate hizo habari.
 
Back
Top Bottom