Hii Picha.....

Watu wanasalimiana huyu mzee wa kulia anapiga makofi duh, kweli tuna safari ndefu!!

Kuna mtu aliwahi kupendekeza Watanzania tuwe mojawapo ya maajabu ya Dunia. Sababu ya Wanafiki kama hawa wanaofikiria kujipendekeza tu hata kama wanakosea.
 
Cha kusikitisha,wamevaa sare za kampeni ya uchaguzi mkuu wa taifa uliokwisha miaka !
 
Kuna mtu aliwahi kupendekeza Watanzania tuwe mojawapo ya maajabu ya Dunia. Sababu ya Wanafiki kama hawa wanaofikiria kujipendekeza tu hata kama wanakosea.

Wakati mwingine huwa nahisi tumerogwa, hasahasa most of rural residence
Umasikini unafanya akili kudumaa
 
ila huyu mwanamke huwezi mfananisha na ,,,,,, ,anaonekana modo modo flan ivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…