Hii picha mmmh | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii picha mmmh

Discussion in 'Jamii Photos' started by Indume Yene, Sep 12, 2010.

 1. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Nimejaribu kuangalia hii picha kwa ukaribu bado sijapata jawabu. Kuna mtu alikuwa anapata busu ya mkono?
  Angalia kisha toa maoni.

  [​IMG]
   
 2. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yhalah!
   
 3. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  :confused2::confused2:
   
 4. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2010
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,675
  Likes Received: 21,904
  Trophy Points: 280
  Anabusu ile pete ya ,.......:eyeroll2:
   
 5. senator

  senator JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Sometimes ukiwa zee unaweza kuwa kama mtoto...Hapo ni kweli anampa baraka za Eid kwa busu pete ili kuondoa mikosi yote wakati wa kampeni
   
 6. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Nimeona ila sijaelewa mantiki ya pix kuwekwa hapa?
  someone explain to me pls
   
 7. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #7
  Sep 13, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Anabusu lile lipete linalofanana la Sheikh Ya...!
   
 8. D

  Diana-DaboDiff JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2010
  Joined: Jul 13, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii ni salamu ya kawaida kwa waislamu walio marafiki kwa kila mmoja kubusu mkono wa mwingine mara nyingi kwenye sikukuu au sherehe nothing unusual.
   
 9. S

  Sylver Senior Member

  #9
  Sep 13, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kiss the don ring
   
 10. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,079
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  busu mkononi.. sometimes upande wa kulia na kushoto wa shavu ni salamu za kawaida kwa waislam:becky:..
   
 11. F

  Falconer JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 658
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Mambo usiyoyajua yatakusumbua. Hebu waache waislamu na utamaduni wao. Hili ni jambo la kawaida. Salamu kwa mmarafiki na watu waliohibana na wanaopendana.
   
 12. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  sheihk yahya
   
 13. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #13
  Sep 13, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Ile pete iletayo "ulinzi usionekana?"
   
 14. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #14
  Sep 13, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Kwa nini sometimes na sio always?
   
 15. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #15
  Sep 13, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Kama ni sometimes kwa nini wale wazee wawili - wa pili na tatu kutoka kushoto wamepigwa na butwaa!
   
 16. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #16
  Sep 13, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Kweli, wameduwaa!
   
 17. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #17
  Sep 13, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,377
  Likes Received: 3,140
  Trophy Points: 280
  Inawezekana sheikh yahaya alimtuma kumpa uchawi aliomwahidi kikwete...............
   
 18. masharubu

  masharubu Senior Member

  #18
  Sep 13, 2010
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii picha na yenyewe wangeweka katika mabango yao ya CCM, kwa muonekano huyu bwana mkubwa huo mkono wake wa kulia kama unamatatizo mara nyingi sija muona akipeana mikono na watu akisimama sawa sawa lazima akae upande, na katika picha hii ukiangalia kama vile alikua anaugulia maumivu na akijaribu kuutoa mkono wa Ruksa kwa mkono wake wa kushoto.Lakini Mungu amesema salimianeni kwa kupeana mikino hakika mikono inabaraka nyingi ndani yake
   
 19. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #19
  Sep 13, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Namkataa shetani na kazi zake zote
   
 20. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #20
  Sep 13, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  I can't seem to see anything...
   
Loading...