Hii picha katika sherehe za Mapinduzi inaongea mengi

Hii picha katika sherehe za Mapinduzi inaongea mengi

Serikali ya Umoja wa Kitaifa.
Kipi cha kushangaza hapo.
Wazanzibari wanajielewa.
 
Iko njema sana! Ingekuwa enzi zile bendera flani zingezuiwa kuingia na kukanyagwa kwenye tope
 
huyo mpiga ngoma hapo ukimzoom vzr hutojuta kumuangalia
 
Kwa Zanzibar hilo linawezekana, maridhiano yao yamesaidia sana kupunguza siasa za chuku na uhasama kuliko ilivyokua awali.

Kuna wapinzani wamepewa vitengo hadi uwaziri kwenye serikali ya mapinduzi.
Na hausikii majukwaani mambo ya uvyama zaidi ni kuijenga nchi na kuleta ufanisi kwa uchumi wa buluu.

Hata kama figisu figisu zipo ni huko ndani kwenye mambo yao lakini huku nje siasa za kistaarabu zimetawala.
Hehehehe maridhiano yapi? Ngoja uchaguzi ufike tena ndionutawajua ccm ni kina nani
 
Hehehehe maridhiano yapi? Ngoja uchaguzi ufike tena ndionutawajua ccm ni kina nani
kwenye utawala wazee wa kijani hawanaga masihara kabisa wapo radhi kutoa roho za watu achana nao hao jamaa wa kijan kabisa
 
Kwa wale wanaojua kutafsiri picha na kuitolea maelezo picha hii inasema mengi hapa unaweza kutengeneza hata kajitabu kadogo....

[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]View attachment 2078022

E1583791-26F7-4592-A815-03CA98AACDFA.jpeg
 
Back
Top Bottom