Hii picha inanikumbusha mbali

Hata town Kwa Sisi tuliyokulia uswazi tumecheza sana huo mchezo....labda wee huko kwenu kulikuwa ushuwani

OVA
Mkuu umedandia tingatinga la kushindilia rami kwa mbele........unajua mada imeanzia wapi.????????
Nilisema kweli Juma ponda mali kaja juzi mjini.....hii michezo tumecheza kitambo sana town yeye ndo anaicheza Leo.......kweli wa juz town....
Alafu umaskini sio kitu cha kujivunia hata kidg ndomaana mnarithishana na wenenu unaona kuwa kupitia maisha ya umaskini dili......acha uboya dogo...pigana uondoe umaaikini wa fikra...wote tumeishi hilo life ila sio ndo kwamba niwe najiona eti ni dili...ishapita jenga future ya wanao kipusa wewe hujielewi
 
Duh sasa ujumbe huo unanipa mimi au nimfikishie juma ponda malí,Lkn nimekuelewa....tatizo la dereva wa basi hili ukora unamsumbua

OVA
Mkuu umedandia tingatinga la kushindilia rami kwa mbele........unajua mada imeanzia wapi.????????
Nilisema kweli Juma ponda mali kaja juzi mjini.....hii michezo tumecheza kitambo sana town yeye ndo anaicheza Leo.......kweli wa juz town....
Alafu umaskini sio kitu cha kujivunia hata kidg ndomaana mnarithishana na wenenu unaona kuwa kupitia maisha ya umaskini dili......acha uboya dogo...pigana uondoe umaaikini wa fikra...wote tumeishi hilo life ila sio ndo kwamba niwe najiona eti ni dili...ishapita jenga future ya wanao kipusa wewe hujielewi
 
Mkuu umedandia tingatinga la kushindilia rami kwa mbele........unajua mada imeanzia wapi.????????
Nilisema kweli Juma ponda mali kaja juzi mjini.....hii michezo tumecheza kitambo sana town yeye ndo anaicheza Leo.......kweli wa juz town....
Alafu umaskini sio kitu cha kujivunia hata kidg ndomaana mnarithishana na wenenu unaona kuwa kupitia maisha ya umaskini dili......acha uboya dogo...pigana uondoe umaaikini wa fikra...wote tumeishi hilo life ila sio ndo kwamba niwe najiona eti ni dili...ishapita jenga future ya wanao kipusa wewe hujielewi
Mkuu taratibu
 
Naanza kumuelewa Masoud baada ya kupitia katuni zake kuhusu serikali ya awamu ya tati na awamu ya tano!
 
Mkuu umedandia tingatinga la kushindilia rami kwa mbele........unajua mada imeanzia wapi.????????
Nilisema kweli Juma ponda mali kaja juzi mjini.....hii michezo tumecheza kitambo sana town yeye ndo anaicheza Leo.......kweli wa juz town....
Alafu umaskini sio kitu cha kujivunia hata kidg ndomaana mnarithishana na wenenu unaona kuwa kupitia maisha ya umaskini dili......acha uboya dogo...pigana uondoe umaaikini wa fikra...wote tumeishi hilo life ila sio ndo kwamba niwe najiona eti ni dili...ishapita jenga future ya wanao kipusa wewe hujielewi
Kwani amekwambia kwa sasa yeye ni masikini?..
 
Hahaha dereva wa hiyo kamba anakata kona kokote atakako yeye na hata kamba ikikatika yeye ataendelea tu kuendesha na kujifanya haoni kama kamba imekatika.
Halafu kuna wakati 'gari' inayumba, na nyie abiria mnayumba accordingly
 
Wewe unakumbuka nini ukiona picha hii
6ad6df5a5422dd3162e6979f40624cc9.jpg
Mkuu......
Hapo naona inaelekea chato....
 
Halafu Masoud tokea atajwe siku ile, anazidi kukiongeza ukubwa hiko kichwa cha "mtukufu" prez wetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom