Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,708
- 12,789
Wewe unakumbuka nini ukiona picha hii
Akianguka mmoja wote chini
Dereva anakowapeleka nyote mnamfuata huko hukona ile kamba ikakatika dereva anabaki anavuta kamba nyepesiii kazi ya kuunda bus inaanza tena.
Ha haWewe unakumbuka nini ukiona picha hii
Mkuu hujacheza mchezo huu?Kweli juma pilimbo wajuzi town...bushi kulikuwa hakuna hiyo michezo...i
Misijawahi kuishi bush mkuuMkuu hujacheza mchezo huu?
Pole sanaMisijawahi kuishi bush mkuu
Hahaha dereva wa hiyo kamba anakata kona kokote atakako yeye na hata kamba ikikatika yeye ataendelea tu kuendesha na kujifanya haoni kama kamba imekatika.Dereva anakowapeleka nyote mnamfuata huko huko
Ndio hali halisi kwa sasaHahaha dereva wa hiyo kamba anakata kona kokote atakako yeye na hata kamaba ikikatika yeye ataendelea tu kuendesha na kujifanya haoni kama kamba imekatika.
Unakaribia kuhitimu kozi ya uchocheziWewe unakumbuka nini ukiona picha hii
Unakaribia kuhitimu kozi ya uchochezi
Wewe unakumbuka nini ukiona picha hii