Yaani una maanisha nitume picha yangu humu!?Tuma picha yako au unajiona ww mwenyewe na unasema umependeza huhhuhu
Mwenyewe nimeona hilo, ni push up sana anaoneshaMzee baba, mkuu, mkuu Jiwe anaonekana anapiga tizi sana eitha la pushups au boxing maana kapinda kivile kama Mwakinyo au Matumla!
Atakuwa yuko fit sana kiafya!
Majizi ya kuraKama kichwa kinavyo samaView attachment 1625853
Tufanye kwenye wale 4 mmoja ni kichaa sasa hapo ndo yupiKama kichwa kinavyo samaView attachment 1625853
Hapa inaonyesha Koti la Raisi mstaafu wa awamu ya pili ni la tofautiKama kichwa kinavyo samaView attachment 1625853
Mwinyi peke yake ndo hajafunga kifugo cha juu cha suti yake, wenzake wote hawajafunga vifungo vya chin vya suti zao🧥🧥Kama kichwa kinavyo samaView attachment 1625853