Hii picha ina maana gani?

Madihani

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
5,972
6,605
e2c59a070700a9ce4b9242c85756c992.jpg
 
Hivi vitoto vya upili vinavyopenda pesa, kupendeza na vismartphone sikuizi vyenyewe ndio vimekua mafisi wanaume ndo tunawindwa!!
 
Hiyo inamaanisha mtoto wa kike amekaa juu mafisi wapo chini.... Unaweza kuta lia huyo mtoto wa kike ana njaa maana hatujui hapo juu kakaa muda gani hajapata chakula
 
Tatizo sio wanaume! Hata uvipeleke boarding na kuvifungia hivi vitoto vya kike, bado vitatoroka na kuwafuata wanaume mtaani! Sasa hapo tatizo ni la nani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom