Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,656
- 33,650
Baroka zinasaidia sana kuna sema nimepishana na jamaa anayenidai na hakuweza kunitambua. Hata pneumonia ikiisha tutumie barakoa kujikinga na vumbi
🤣🤣🤣
Baroka zinasaidia sana kuna sema nimepishana na jamaa anayenidai na hakuweza kunitambua. Hata pneumonia ikiisha tutumie barakoa kujikinga na vumbi
Nyinyi CCM hamna tofauti na mbwakimsingi balakoa haina uwezo wa kumzuia huyu corona wa awamu hiiya 2.wa S.Afr walikuwa wanashnda na balkoa na kulala nazo lakini wapi!! Muacheni apumue dada wawatu#jane lowasa
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
[emoji25][emoji25][emoji40][emoji25][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji1549][emoji1549][emoji1549]Huyu Profesa alikuwa amevaa barakoa ili kujikinga na Corona lakini alipoenda kusalimiana na Rais ilibidi aivue!View attachment 1708101
Huyo sio Profesa ,ni msukuma mmoja Jaji Mstaafu Mihayo ambae haishangazi kumuabudu Jiwe kwani alimuokota jalalani!! Jiwe amempa vyeo vya kuwa kwenye TUME YA UCHAGUZI KAMA MJUMBE NA PIA AMEMPA UENYEKITI WA BODI YA UTALII !! Hivyo usishangae ukimuona mbele ya Jiwe huyo bwana ingawa ni sawa na baba yake lakini anaweza kumpigia magoti!!Huyu Profesa alikuwa amevaa barakoa ili kujikinga na Corona lakini alipoenda kusalimiana na Rais ilibidi aivue!View attachment 1708101
Huyu Profesa alikuwa amevaa barakoa ili kujikinga na Corona lakini alipoenda kusalimiana na Rais ilibidi aivue!View attachment 1708101
Huyu demu simuelewagi kabisa
🤣🤣🤣jamani jiwe anawapa tabu sana wazee wetuHuyu Profesa alikuwa amevaa barakoa ili kujikinga na Corona lakini alipoenda kusalimiana na Rais ilibidi aivue!View attachment 1708101
Duh! 🤣 🤣 🤣Meko hataki watu wavae "Santaiza" na kupaka BARAKOA..Herdy Immunity.
Nakumbuka mwalimu wangu.aliwahi kuniambia degree is not a skill is just a Manila sheet.kumbe kweli.Huyu Profesa alikuwa amevaa barakoa ili kujikinga na Corona lakini alipoenda kusalimiana na Rais ilibidi aivue!View attachment 1708101