Hii picha imenishtua sana!

Hii picha imenishtua sana!

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,923
Reaction score
95,765
Huyu Profesa alikuwa amevaa barakoa ili kujikinga na Corona lakini alipoenda kusalimiana na Rais ilibidi aivue!
543210976.jpg
 
kimsingi balakoa haina uwezo wa kumzuia huyu corona wa awamu hiiya 2.wa S.Afr walikuwa wanashnda na balkoa na kulala nazo lakini wapi!! Muacheni apumue dada wawatu#jane lowasa

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Meko hataki watu wavae "Santaiza" na kupaka BARAKOA..Herdy Immunity.
 
Back
Top Bottom