GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,582
- 127,929
Ebu tupe umbea , wengine vichwa ngumu... mi nimeona kuwa jamaa anawajali wasanii wake na kuwaheshimu
Nashukuru umeuliza Swali halafu umejijibu mwenyewe hivyo umenirahishia Kazi yangu. Asante sana!