Hii picha ilinichanganya, lakini baadaye nikaelewa......

Yanavutia sio siri ukikutana nayo kama umepata nyagi lazima idinde looh, isipodinda basi utakuwa si rizki
Nimependa mistari yako Sakapal...Nyagi inaleta handasi sioo..mbona mimi moto wangu hauhitaji bosting yoyotee...lakin kweli ni mazuri kama yako bila shaka.Kwa hiyo mimi rizki sio!!??au

Weeeweeeee, weeweeee wewe, haya umeniona wapi hata ukasema kama yangu hayo mhhhh angalia usije ukapigwa ngwala, oohooooo wenye hisa na hati miliki wako humuhumu shaurilo usije sema sijakwambia. Mtambuzi huyu ni mtu wa pili anasema hiyo picha ni kama mie unataarifa yoyote kuhusu hilo? mwongozo wako tafadhali.
 
Last edited by a moderator:

Kusifia gari au chochote kile ..sio kwamba unalinunua au kuchukua...lawezekana lina mwenyewe au limeshanunuliwa,au haujui chochote unataka kujuzwa ili ufanye maamuzi kama ni kununua au kuacha. Mtambuzi Hongera...Take care maana ndio hivyoooo>>>point/marks kibao anapewa hata hajaonekana live...jee akionekana unampoteza.
 
no comment.
 
Weeeweeeee, weeweeee wewe, haya umeniona wapi hata ukasema kama yangu hayo mhhhh angalia usije ukapigwa ngwala, oohooooo wenye hisa na hati miliki wako humuhumu shaurilo usije sema sijakwambia. Mtambuzi huyu ni mtu wa pili anasema hiyo picha ni kama mie unataarifa yoyote kuhusu hilo? mwongozo wako tafadhali.
sakapal naogopa kutoa muongozo maana watu humu watanitafsiri vibaya
 
Last edited by a moderator:
Looo!!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
kazi ya Mungu...japo mchina nae hayupo nyuma.....
 
Back
Top Bottom