Hii pekee ipo Rwanda

Kwa hilo hakumtendea haki demu na wala hakutuwakilisha vizuri wa TZ...plastic cover ingekuwa tapwa tapwa kwa maji km ungegegeda kisawa sawa!
Fuatilia sredi yangu vizuri mpaka nimejipachika jina la fundi bomba rasmi Leo. Ilikuwa kama water fountain za ulaya zinazorushaga maji ila sikujua wala kujali saana maana tulijifunika shuka langu la kimasahi nililonunua pale kahama baada ya shughuli ya kitaifa kusababisha koki kupasuka na hivyo maji kuleta adha kwa wakazi.

Kila kiukweli mwanzoni sikujua kama maji ndo reason kubwa kucover godoro nilihisi labda jamaa wamejaradia ili yazidi kuwa mapya and still bado nilikua naamini kuna sababu nyingine na hata sikumuuluza mrembo maana she is so shy.

Fundi bomba!
 
1. Rwanda itakuwa na askari wengi sana.

2. Yaelekea Kigali ina wakazi wachache sana. Kila mtu anamjua mtu fulani (kila mtu)?

3. Unamaanisha nini kusema kila raia anavaa nguo za kijeshi? Sasa nini kinatofautisha raia mvaa sare za jeshi na mwanajeshi halisi?

4. Hapa labda ungesema Kwa East Africa au Africa, lakini nina hakika ipo miji mingine duniani yenye sifa hii. Nimekaa mji mmoja US miezi zaidi ya sita bila kuona mfuko wa nailoni, karatasi, ganda la pipi, biskuti wala uchafu wowote barabarani au kwenye viunga

5. Duh! Wimbo wa Pressure wa mwaka 2007? Hawa jamaa walichelewa wapi kuusikia na kuusahau?

6. Mmh! Hii ngoja waje waseme wenyewe akina mchambawima1

7. Sasa ndugu ulitaka akuambieje? Au ndio ile tumeshazoea jibu la "wala, mimi wa kawaida sana, kwani haujaona warembo zaidi yangu..." ili upate pa kuendelezea?
Hayo yote ulioyataja hakuna kitu kama hicho. Mimi naijua ile nchi nje ndani.
Hizo ni assumptions nilizokuja nazo baada ya kusoma hoja za mleta uzi...maana nimeshindwa kuamini kama aliyosema yote yanawezekana kirahisi...
 
Hizi ni porojo na propaganda kutaka kuisafisha Rwanda dhidi yetu Tanzania ili ionekane ni watu wema kumbe ni unafiki tu!. Tumeshituka na wewe JPM kuwa makini na hawa Warwanda sio watu wema kabisa!
Hizi chuki na roho mbaya ndo wanyarwanda ziliwacost saana miaka hiyo mpaka Genocide hivyo kwa sasa makovu ya chuki imewafanya wajue thamani ya upendo, kuvumiliana, na kuheshimiana. Nimeliona hili la mapendo likitekelezwa kwa vitendo. Niisafishe ili iweje kagame anipe kamisheni au ubunge kule western province...imbecillic!

Badilika bro hates is the poison, love is the remedy.
 
Ndugu yangu si unajua kwamba waswahili husema za Kuambiwa changanya na zako.
 

Watu wanamiliki maji ni kutokana na iana ya vyakula wanavyokula, hususani ndizi kwa sana.
Pia pindi wakiwa watoto, wazazi na manyanya zao huzikuza antena kwa namna ya kuzivuta vuta na kuzifanya ziwe kubwa. Kwa hiyo vingamuzi vyao ni kama vya DSTV.
Uganda ndio mabingwa wa mawoter, then Tanzania bukoba, Rwanda na kiasi fulani burundi
 
Umenikumbusha mkuu kuna kitu flani ambacho sikuzoea kukiona kwa wanawake wa kibongo ila kwa hawa nimekiona nimeshangaa sana asee!
 
vipi yule binti wa kagame anapatikana mitaa gani ya kigali nifunge safari nikamsalimie!
 

Maji yanaraha yake yale unapiga mbizi bila kuchoka...
 
basi mpwa usiniache next trip,ili nami nikalalie tugodoro twa nylon
 
hatari sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…