Aiseee! Kweli Rwanda patamu.Ule ulinzi si wa kawaida mpwa, ukiwa mgeni lazima ufahamu uvurugwe na confidence itikisike kiaina maana ni zaidi ya askari walioko frontline kule Cambodia kwa jinsi walivyojicamouflage na kizuri ukiwaona tu sio askari polisi wala askari jeshi wote wana physique na body za kiaskari kiukweli sijaona askari mwenye kitambi kwa muda wangu wote Rwanda na pia idadi kubwa ya askari ni vijana kati ya miaka 18-33 yrs cha kustaajabisha hawakai kwa muda wote wawapo doria au lindo.
Ukiwajua hawana shida maana huwa hawahoji wala kuharass mtu wao ni kuhakikisha wewe na huyo mchuchu mpo salama. Ni kama masanamu vile.
Mpwa naona umeamua kuondoa makandokando ya taarifa maana kuna watu ni wafukunyuku sana.Sema na kaukurasa kangu hako kavisa Mpwa.
Rwanda kigali ni nchi ndogo na kwa namna nilivyokatembelea nimenasa hayo kwa haraka haraka mpwa.
Nimefika ila kuna dharula imejitokeza that's why nimekuja Mwanza then soon nitarudi nimalizie mautamu.View attachment 394122
ulienda Car Wash?
Mkuu nani tena huyo? Vip amekufanyaje?Punguza sifa wewe
Mkuu Mibas, mtasababisha tusiwe tunapewa mambo muhimu ya sehemu muhimu, punguza U-CIA.Ila nimekukubali yani ndani ya siku mbili tu umeweza kunasa mambo yote hayo!! Alafu kwa nini hujagongewa muhuri wa Exit wakatu unarudi!
Ahahaha! Mpwa nimeziba mianya yote ya maswali. Huyu mfukunyuku aliachia manyoya toka Siku ile mpaka Leo hii. Naona analikes tu comments za watu..kiiimya!Mpwa naona umeamua kuondoa makandokando ya taarifa maana kuna watu ni wafukunyuku sana.
Hahahaha! Kuna gari zinaanzia Mwanza kwenda Rwanda?Ahahaha! Mpwa nimeziba mianya yote ya maswali. Huyu mfukunyuku aliachia manyoya toka Siku ile mpaka Leo hii. Naona analikes tu comments za watu..kiiimya!
Si unajua ni mwenyewe komando yosso.
Ziko kibao!! Ni wewe tu na mfuko wako mpwa.Hahahaha! Kuna gari zinaanzia Mwanza kwenda Rwanda?
Itabidi nikutafute mkuuZiko kibao!! Ni wewe tu na mfuko wako mpwa.
Kale kanchi ni katamu. Nenda ujioneeKumbe kuna mengi ya kujifunza huko Rwanda!
Ahahaha!! We jamaa jiangalie inaweza kuwa mganga wa kienyeji siku za usoni..! Ubashiri wako ni hatari saana.Yawezekana bado upo huko Rwanda kma wabisha sema.........
Kwenye fursa akili huwa zinachaji quickly saana...!Rwanda ndo mji pekee east Africa ambapo diamond yuko celebrated than local artist wa pale. Wale wasiojua kiingereza pale Rwanda wanaamini diamond platinum ni neno la kiswahili. Nimeenda club kadhaa na kila club ilipiga nyimbo za diamond zaidi ya nne tofauti na wasanii wengine. Ilifika time nikang'oa mpaka demu mkali wa kitutsi kwenye club moja VIP kwa kiki la kwamba diamond ni jirani yangu pale Dar ilhali ukweli nakaa Mwanza, nyegezi.
ππππππππ
nimepapenda sana hapo
Mkuu huko rwanda kwa wazama chumvini inakuwaje ss!maana hayo maji si anaweza jikuta anakata kiu!Rwanda Kigali ndo mji pekee ambapo magodoro yake yamewekewa "plastic cover" sijui hata ni kwa sababu gani, mtanisaidia tafadhali wandugu.
Magpdolo yapo hivyo kwa sababu ya maumbile yao ya kike ukigusa tu binti anapizi maji mengi humtoka hasa ukichezea harage, na hii ipo na kwa Warundi pia!
Kohoni=kooniMimi Jamii forum imenisaidia sana kuandika kwa staha na usahihi.
Mwanzoni nilikuwa naandika hovyo hovyo bila kufata kanuni na taratibu za maandishi, hivyo naamini kwa vile wamo humu JF na mmewakalia kohoni lazima wataboresha maandishi yao kadri muda unavyokwenda.
Ahahahhaha!! Hivi umewaza nini we jamaa?Mkuu huko rwanda kwa wazama chumvini inakuwaje ss!maana hayo maji si anaweza jikuta anakata kiu!
Bado naendelea kujifunza mkuu.Kohoni=kooni
Hayo maji kuwekewa mpk nylon kwenye godoroοΌc mchezo mkuuAhahahhaha!! Hivi umewaza nini we jamaa?