Dah! Kwa akina sie hizo teminology na technical settings tutaweza kweli??
Mwisho wa siku watumiaji wote wa Modems tutakua mafundi wa IT sasa. Mweee.....!!??
So inamaana hamna offer yoyote unapata modem tupu sio?mkuu.....mimi nimekinunua leo hii....
ki ukweli kina speed fulani ambayo sielewi sana lakini ukikiweka kwenye laptop kinajiset chenyewe na speed ni nzuri.....
tatizo linakuja......hii free internet ya miezi 6 inatoka wapi....?....wabongo na bure unatujua tena......
wakati nakinunua kulikuwa na watu wengi so nikaona muuzaji kachanganyikiwa kwa maswali....nikaona isiwe tabu nitauliza customer care.....
kupiga customer care kuuliza....muhudumu wa kwanza akanipotezea akakata simu.....
wa pili alikiri kwamba.....kweli sijui hiyo free internet inakujaje kujaje naomba unisamehe jaribu kuuliza tena kesho.....
binafsi nimebaki kwenye mataa.....naendelea nayo kwa bundle yangu ya kawaida......
ila speed mwanakwetu.....iko mwake.....
e2themiza@ nimejaribu kuforce 3g mpaka nimechoka..aidha inagoma kukonnnect au inajidiconnect baada ya dakika kadhaa
usiogope mkuu......hiki kipya ukikiweka tu....unaendelea kubonyeza taratibu....huumizi akili yako.......
e2themiza@!
Umeona comment hapo juu?
Mie sijalalamika isipokua nazungumzia kwa akina sie tusio na hizo idea za settings inakua shughuli kwelikweli, mbali ya kufanya hizo settings, terminology tu kasheshe.
Kuna settings za free internet ziliwekwa hapa kwa kutumia opera mult-(nini...nini...sijui...) nikadandia treni kwa kutamani vya ubwelele..ilikua ni shughuli mwishowe nimeishia kubrowse kwa hiyo opera lakini inakula mpunga vilevile, kuna sehem nilichanganya mambo ile kubrowse nikakutana na message ''what do you need to do'' nilichomoka fasta wasije kamata ip adress ya simu yangu wakanishughulikia kwamba nilikua na attempt froud.
Mkuu kwenye red umenifanya nicheke saaaaana....lol
Ulidhania wenyewe wamekushtukia na kakutumia msg?
mimi mmoja wapo iko poa nakamata 3G!Hivi kuna watu bado wanatumia Airtel?
Ungekuwa mtihani au interview peke yako ndie uliyeshinda ,jamaa kaulizia kuhusu hiyo modem na prom yake lakini majibu yanayotoka hapo ni tofauti ,kama hujui kitu ni afadhali ufunge bakuli,kuliko kubwabwaja vitu ambavyo viko nje ya kilichoulizwa,si ajabu ndio maana tunapigwa mabao kwenye mitihani na kwenye interview za kuomba kazimkuu.....mimi nimekinunua leo hii....
ki ukweli kina speed fulani ambayo sielewi sana lakini ukikiweka kwenye laptop kinajiset chenyewe na speed ni nzuri.....
tatizo linakuja......hii free internet ya miezi 6 inatoka wapi....?....wabongo na bure unatujua tena......
wakati nakinunua kulikuwa na watu wengi so nikaona muuzaji kachanganyikiwa kwa maswali....nikaona isiwe tabu nitauliza customer care.....
kupiga customer care kuuliza....muhudumu wa kwanza akanipotezea akakata simu.....
wa pili alikiri kwamba.....kweli sijui hiyo free internet inakujaje kujaje naomba unisamehe jaribu kuuliza tena kesho.....
binafsi nimebaki kwenye mataa.....naendelea nayo kwa bundle yangu ya kawaida......
ila speed mwanakwetu.....iko mwake.....
mkuu.....mimi nimekinunua leo hii....

Mtu anatangaza nchi nzima kwenye magazeti, kwenye website, kwenye mabango eti ukinunua modem internet bure miezi sita, wakati anajua kabisa hicho kitu hawezi ku-offer.Kwa hili sasa sijui ni ujinga wetu wanunuzi au ni ujinga wa sheria zetu?
Mkuu kwenye red umenifanya nicheke saaaaana....lol
Ulidhania wenyewe wamekushtukia na kakutumia msg?
Untakiwa kuripotiwa [TABLE="align: center"]Hivi huu ujinga wa hivi unatakiwa kuripotiwa wapi? TCRA au Tume ya ushindani? Mtu anatangaza nchi nzima kwenye magazeti, kwenye website, kwenye mabango eti ukinunua modem internet bure miezi sita, wakati anajua kabisa hicho kitu hawezi ku-offer. Au ndio ile mambo ya invitation to treat, ya kina Mr Carbolic & Carlil. Kwa hili sasa sijui ni ujinga wetu wanunuzi au ni ujinga wa sheria zetu? Mi' ndo' mana nabaki zangu foda. Siami ng'o.
| Thursday Apr 12, 2012 |
[TD="colspan: 3"] |
| |
[TD="colspan: 3"] |
| | |
[TD="class: headline"] |
| |
Mambo yote blackberry modem zao speed ya kufa mtu ni 5g
Hakuna lolote labda walionunua leo, ila bado tuna 3G, TTCL ile ya Fiber Optic ndo wakweli
binafsi nimebaki kwenye mataa.....naendelea nayo kwa bundle yangu ya kawaida......
ila speed mwanakwetu.....iko mwake.....