Hercule Poirot
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 1,778
- 1,569
wewe unatumia nini ?Hivi kuna watu bado wanatumia Airtel?
Dah,it seems unakaa chini ya minara ya simu.Ntanunua kesho.. Ntawajulisha leo mvua nkashndwa.. Bt swala la speed mbona Airtel iko mwake sana.. Uku naona inapta wk speed haijashuka
2.5mbps au 280KBps tena iko safi sana ktk kustream hd hazigandi kabisaa!!
Dah,it seems unakaa chini ya minara ya simu.
---Believdat---
jaribu kuforce ikamate 3G Only! Kama umeset auto.. All the time EDGE minara iko full so inapewa first piorty.. ..baadae nataka nweke tena Airtel nwotch epl.
Miezi 6 bure?lugha za biashara 2 hizo yan utakuta kila mwezi wanakupa 400mb ila wanavyoongea utadhani ni unlimited for 6 months..ngoja walionunua watujuze
Mkuu nivizuri kusema haujaelewa wap kuliko kulalamika..Dah! Kwa akina sie hizo teminology na technical settings tutaweza kweli??
Mwisho wa siku watumiaji wote wa Modems tutakua mafundi wa IT sasa. Mweee.....!!??