Hii Noma...!!!

Hii Noma...!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Hawajamaa masharti yao noma
hytega4e.jpg


Sent from my Citycall i930+ using Tapatalk 2
 
eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh......balaaaaaaaaaaa kweli hili
 
Hiyo labda mwenyewe awe anaingia na mkewe au aifanye nyumba yake ya kuishi...haya mambo yapo sana Unguja
 
..wateja watakuwa wachache sana,mara nyingi wageni wanapendelea kwenda wawili na wanakuwa hawana hizo documents...
 
hii gest house kitu kama ipo mitaa ya kitangiri jijini mwanza.. sikumbuki jina lake.
 
Back
Top Bottom