Hii nimetoa mahali ila wanaume mnatisha

Hii nimetoa mahali ila wanaume mnatisha

Matusi ni kuonesha namna gani u muongo na hujalelewa vizuri. Matusi hukaa kifuani kwa mpumbavu. Hilo sio kosa lako ni kosa la wazazi wako kutotumia kondomu na kuzaa takataka kama wewe.

Haya umeshinda ila mzee wako bora angemwagia chini tu. 😁😁😁
Aaaah Nikishalewa Msiniache mbwa nyie in min -me voice
 
Ameenda Kwao Kujifungua Namuambiaje Nimeoa Mwanamke Mwingine?

Mimi ni Kijana wa miaka 31, nimeoa, kabla ya kuoa nilikua kwenye mahusiano na Dada mmoja ambaye tulikua tunapendana sana, kila kitu tulikua tunafanya mapka kwao alishanitambulisha ingawa kwetua ilikua bado.

Mwaka jana mwishoni mimi nayeye tulikubaliana kua na mtoto kisha ndiyo tufunge ndoa ingawa tulikua bado hatujaanza kuishi pamoja, alikubali na kubeba ujauzito wangu. Sababu ya kuja kwako ni hivi, katika kipindi hiki cha miezi minne ambacho ameenda kwao kujifungua nimegundua kuwa nilifanya makosa kuzaa naye.

Sio kama nilimdanganya lakini niliona kama nimefanya makosa sikua tayari kuwa Baba. Nilijikuta napunguza mawasiliano, na kipindi hichochoicho nilijikuta naingia kwenye mahusaino na mwanamke mwingine. Ni binti ambaye nimemuona kwa muda mfupi lakini nilijikuta kuwa nampenda, kwakua nilikua nahofia asije kujua kuwa nina mtoto nilimuambia kuwa nataka kumuoa.

Alikubali, nilimtambulisha kwetu harakaharaka na kuwaambia ndugu zangu nafunga ndoa na kwakua sisi waisalamu ndoa haicheleweshwi nimefunga naye ndoa na sasa hivi tuna furaha.

Naomba unisaidie namna gani nitamuambia X wangu kuwa nimeoa, simhitaji nataka tulee mtoto tu. Lengo lilikua mimi nikienda kumchukua ndiyo nitoe Mahari na kufunga naye ndoa lakini simhitaji tena. Nina mke tayari na nampenda, siko tayari kwa mtoto kwasasa hivi, nataka kula matunda ya ndoa na wala siwezi kuoa wake wawili ingawa dini inaruhusu!.

Kila siku namzungusha X wangu kuwa nitaenda kumchukua, mtoto ana miezi mitatu sasa, anataka kurudi, kazi hana kwani baada ya ujauzito nilimuachisha kazi, tulikua na malengo mengi sana. Najua nimekosea lakini haikua mipango yangu, kila kitu kimebadilika, nisaidie hata kuongea naye ili ajisikie vizuria jue sikupanga kumuacha bali imetokea tu! Niko tayari hata kumpa mtaji aanze maisha yake na mtoto nitalea!
Hata huyu atakushinda na atakupiga tukio usirudi hapa
 
nisaidie hata kuongea naye ili ajisikie vizuria jue sikupanga kumuacha bali imetokea tu! Niko tayari hata kumpa mtaji aanze maisha yake na mtoto nitalea!
Hiyo statement imenichekesha sana na nacheka sio kama mazuri ila kuna namna tunazichukulia poa sana hisia.
 
Ameenda Kwao Kujifungua Namuambiaje Nimeoa Mwanamke Mwingine?

Mimi ni Kijana wa miaka 31, nimeoa, kabla ya kuoa nilikua kwenye mahusiano na Dada mmoja ambaye tulikua tunapendana sana, kila kitu tulikua tunafanya mapka kwao alishanitambulisha ingawa kwetua ilikua bado.

Mwaka jana mwishoni mimi nayeye tulikubaliana kua na mtoto kisha ndiyo tufunge ndoa ingawa tulikua bado hatujaanza kuishi pamoja, alikubali na kubeba ujauzito wangu. Sababu ya kuja kwako ni hivi, katika kipindi hiki cha miezi minne ambacho ameenda kwao kujifungua nimegundua kuwa nilifanya makosa kuzaa naye.

Sio kama nilimdanganya lakini niliona kama nimefanya makosa sikua tayari kuwa Baba. Nilijikuta napunguza mawasiliano, na kipindi hichochoicho nilijikuta naingia kwenye mahusaino na mwanamke mwingine. Ni binti ambaye nimemuona kwa muda mfupi lakini nilijikuta kuwa nampenda, kwakua nilikua nahofia asije kujua kuwa nina mtoto nilimuambia kuwa nataka kumuoa.

Alikubali, nilimtambulisha kwetu harakaharaka na kuwaambia ndugu zangu nafunga ndoa na kwakua sisi waisalamu ndoa haicheleweshwi nimefunga naye ndoa na sasa hivi tuna furaha.

Naomba unisaidie namna gani nitamuambia X wangu kuwa nimeoa, simhitaji nataka tulee mtoto tu. Lengo lilikua mimi nikienda kumchukua ndiyo nitoe Mahari na kufunga naye ndoa lakini simhitaji tena. Nina mke tayari na nampenda, siko tayari kwa mtoto kwasasa hivi, nataka kula matunda ya ndoa na wala siwezi kuoa wake wawili ingawa dini inaruhusu!.

Kila siku namzungusha X wangu kuwa nitaenda kumchukua, mtoto ana miezi mitatu sasa, anataka kurudi, kazi hana kwani baada ya ujauzito nilimuachisha kazi, tulikua na malengo mengi sana. Najua nimekosea lakini haikua mipango yangu, kila kitu kimebadilika, nisaidie hata kuongea naye ili ajisikie vizuria jue sikupanga kumuacha bali imetokea tu! Niko tayari hata kumpa mtaji aanze maisha yake na mtoto nitalea!
Kwanza kabisa unatembea na laana maisha yako yote otherwise umuoe nayy kama atakuelewa lakini kimsingi umekosea sana unaongozwa na mihemko sana,
 
Akili matope sana achinjwe kwenye xmas
 
nimegundua kuwa nilifanya makosa kuzaa naye.
Nani alimtuma?
lakini niliona kama nimefanya makosa sikua tayari kuwa Baba
ila? Tayar kuwa nan?
memuona kwa muda mfupi lakini nilijikuta kuwa nampenda
kumuona muda mfupi ndio ucost maisha ya mtu?
nataka kumuoa.
unaoa tena alf ulisema hukuwa tayar kuwa baba?
Alikubali, nilimtambulisha kwetu harakaharaka
harakaharaka ya nini?
Lengo lilikua mimi nikienda kumchukua ndiyo nitoe Mahari na kufunga naye ndoa lakini simhitaji tena.
hii ni dalili ya kukimbia mahari
Na vp kuhus kutoa mahar kwa mke mwingn?

kuoa wake wawili ingawa dini inaruhusu!.
ila?
Kila siku namzungusha X wangu kuwa nitaenda kumchukua, mtoto ana miezi mitatu sasa,
huu ukweli utaficha hadi lini?
Hujui kama huyo mtoto unayemkwepa atakuja kukusaidia Maishani?

Najua nimekosea lakini haikua mipango yangu
ila ilikuwa ni mipango ya nani?
jue sikupanga kumuacha bali imetokea tu!
Kama hukupanga kumuacha shida ni nini?
 
Ameenda Kwao Kujifungua Namuambiaje Nimeoa Mwanamke Mwingine?

Mimi ni Kijana wa miaka 31, nimeoa, kabla ya kuoa nilikua kwenye mahusiano na Dada mmoja ambaye tulikua tunapendana sana, kila kitu tulikua tunafanya mapka kwao alishanitambulisha ingawa kwetua ilikua bado.

Mwaka jana mwishoni mimi nayeye tulikubaliana kua na mtoto kisha ndiyo tufunge ndoa ingawa tulikua bado hatujaanza kuishi pamoja, alikubali na kubeba ujauzito wangu. Sababu ya kuja kwako ni hivi, katika kipindi hiki cha miezi minne ambacho ameenda kwao kujifungua nimegundua kuwa nilifanya makosa kuzaa naye.

Sio kama nilimdanganya lakini niliona kama nimefanya makosa sikua tayari kuwa Baba. Nilijikuta napunguza mawasiliano, na kipindi hichochoicho nilijikuta naingia kwenye mahusaino na mwanamke mwingine. Ni binti ambaye nimemuona kwa muda mfupi lakini nilijikuta kuwa nampenda, kwakua nilikua nahofia asije kujua kuwa nina mtoto nilimuambia kuwa nataka kumuoa.

Alikubali, nilimtambulisha kwetu harakaharaka na kuwaambia ndugu zangu nafunga ndoa na kwakua sisi waisalamu ndoa haicheleweshwi nimefunga naye ndoa na sasa hivi tuna furaha.

Naomba unisaidie namna gani nitamuambia X wangu kuwa nimeoa, simhitaji nataka tulee mtoto tu. Lengo lilikua mimi nikienda kumchukua ndiyo nitoe Mahari na kufunga naye ndoa lakini simhitaji tena. Nina mke tayari na nampenda, siko tayari kwa mtoto kwasasa hivi, nataka kula matunda ya ndoa na wala siwezi kuoa wake wawili ingawa dini inaruhusu!.

Kila siku namzungusha X wangu kuwa nitaenda kumchukua, mtoto ana miezi mitatu sasa, anataka kurudi, kazi hana kwani baada ya ujauzito nilimuachisha kazi, tulikua na malengo mengi sana. Najua nimekosea lakini haikua mipango yangu, kila kitu kimebadilika, nisaidie hata kuongea naye ili ajisikie vizuria jue sikupanga kumuacha bali imetokea tu! Niko tayari hata kumpa mtaji aanze maisha yake na mtoto nitalea!
Kwanza umefanya maamuzi yakipumbavu kama ni kweli.uwezi kuwa na malengo na mtu alafu ukafanya huo ujinga chakufanya hapo oa wote wawili lakn kama ukimuacha huyo demu mwenyw mtoto itakuwa ni laana kwako atakavyo kuwa anateseka.labda kama kwao wanauwezo

Pia kama uwezi oa wote w2 basi achana na huyo aliyekuja baada ya wew kuwa na mtot unasema una miaka 31 sema unafikiria kama mtu mweny miaka 14 🚮🚮🚮
 
Ameenda Kwao Kujifungua Namuambiaje Nimeoa Mwanamke Mwingine?

Mimi ni Kijana wa miaka 31, nimeoa, kabla ya kuoa nilikua kwenye mahusiano na Dada mmoja ambaye tulikua tunapendana sana, kila kitu tulikua tunafanya mapka kwao alishanitambulisha ingawa kwetua ilikua bado.

Mwaka jana mwishoni mimi nayeye tulikubaliana kua na mtoto kisha ndiyo tufunge ndoa ingawa tulikua bado hatujaanza kuishi pamoja, alikubali na kubeba ujauzito wangu. Sababu ya kuja kwako ni hivi, katika kipindi hiki cha miezi minne ambacho ameenda kwao kujifungua nimegundua kuwa nilifanya makosa kuzaa naye.

Sio kama nilimdanganya lakini niliona kama nimefanya makosa sikua tayari kuwa Baba. Nilijikuta napunguza mawasiliano, na kipindi hichochoicho nilijikuta naingia kwenye mahusaino na mwanamke mwingine. Ni binti ambaye nimemuona kwa muda mfupi lakini nilijikuta kuwa nampenda, kwakua nilikua nahofia asije kujua kuwa nina mtoto nilimuambia kuwa nataka kumuoa.

Alikubali, nilimtambulisha kwetu harakaharaka na kuwaambia ndugu zangu nafunga ndoa na kwakua sisi waisalamu ndoa haicheleweshwi nimefunga naye ndoa na sasa hivi tuna furaha.

Naomba unisaidie namna gani nitamuambia X wangu kuwa nimeoa, simhitaji nataka tulee mtoto tu. Lengo lilikua mimi nikienda kumchukua ndiyo nitoe Mahari na kufunga naye ndoa lakini simhitaji tena. Nina mke tayari na nampenda, siko tayari kwa mtoto kwasasa hivi, nataka kula matunda ya ndoa na wala siwezi kuoa wake wawili ingawa dini inaruhusu!.

Kila siku namzungusha X wangu kuwa nitaenda kumchukua, mtoto ana miezi mitatu sasa, anataka kurudi, kazi hana kwani baada ya ujauzito nilimuachisha kazi, tulikua na malengo mengi sana. Najua nimekosea lakini haikua mipango yangu, kila kitu kimebadilika, nisaidie hata kuongea naye ili ajisikie vizuria jue sikupanga kumuacha bali imetokea tu! Niko tayari hata kumpa mtaji aanze maisha yake na mtoto nitalea!
Sasa mtendee wema huyo mwanamke kama hutaki laana ya Mungu,fanya hivi:
1.muandalie fedha za kutosha kuanzisha mradi wake,ndipo uende ukamweleze ukweli kuwa uneoa na huwezi kuishi nae tena
2.Muandalie kima cha pesa ambacho utakuwa unampa kila mwezi kwa ajili ya mtoto
3.Umuombe radhi sana huyo mwanamke
 
Ameenda Kwao Kujifungua Namuambiaje Nimeoa Mwanamke Mwingine?

Mimi ni Kijana wa miaka 31, nimeoa, kabla ya kuoa nilikua kwenye mahusiano na Dada mmoja ambaye tulikua tunapendana sana, kila kitu tulikua tunafanya mapka kwao alishanitambulisha ingawa kwetua ilikua bado.

Mwaka jana mwishoni mimi nayeye tulikubaliana kua na mtoto kisha ndiyo tufunge ndoa ingawa tulikua bado hatujaanza kuishi pamoja, alikubali na kubeba ujauzito wangu. Sababu ya kuja kwako ni hivi, katika kipindi hiki cha miezi minne ambacho ameenda kwao kujifungua nimegundua kuwa nilifanya makosa kuzaa naye.

Sio kama nilimdanganya lakini niliona kama nimefanya makosa sikua tayari kuwa Baba. Nilijikuta napunguza mawasiliano, na kipindi hichochoicho nilijikuta naingia kwenye mahusaino na mwanamke mwingine. Ni binti ambaye nimemuona kwa muda mfupi lakini nilijikuta kuwa nampenda, kwakua nilikua nahofia asije kujua kuwa nina mtoto nilimuambia kuwa nataka kumuoa.

Alikubali, nilimtambulisha kwetu harakaharaka na kuwaambia ndugu zangu nafunga ndoa na kwakua sisi waisalamu ndoa haicheleweshwi nimefunga naye ndoa na sasa hivi tuna furaha.

Naomba unisaidie namna gani nitamuambia X wangu kuwa nimeoa, simhitaji nataka tulee mtoto tu. Lengo lilikua mimi nikienda kumchukua ndiyo nitoe Mahari na kufunga naye ndoa lakini simhitaji tena. Nina mke tayari na nampenda, siko tayari kwa mtoto kwasasa hivi, nataka kula matunda ya ndoa na wala siwezi kuoa wake wawili ingawa dini inaruhusu!.

Kila siku namzungusha X wangu kuwa nitaenda kumchukua, mtoto ana miezi mitatu sasa, anataka kurudi, kazi hana kwani baada ya ujauzito nilimuachisha kazi, tulikua na malengo mengi sana. Najua nimekosea lakini haikua mipango yangu, kila kitu kimebadilika, nisaidie hata kuongea naye ili ajisikie vizuria jue sikupanga kumuacha bali imetokea tu! Niko tayari hata kumpa mtaji aanze maisha yake na mtoto nitalea!
Yasubirie malipo. Andaa mikononi ya kupokea maana yatakua heavy.
 
Back
Top Bottom