Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,524
- 8,897
Hii ni zaidi ya unyama.
Warogwe ili iweje sasa?Honestly wanaume kama hao mnastahili kulogwa kabisaa.
Unamaanisha Moto wa jehanamu mkuu😂Ila wanaume moto wenu utakuwa mkali sana
Ndiyo mkuuUnamaanisha Moto wa jehanamu mkuu😂
Aisee🤔Ndiyo mkuu
NdiooHii ni zaidi ya unyama.
HakunaWarogwe ili iweje sasa?
Unadhani wakirogwa kitabadilika kitu?
Nawe umeamini huu upuuzi. Eri mwaka jana mwishoni walikubaliane wazae na sasa ana miezi minne kwenda kwao kujifungua.Ukifanyiwa ubaya ukae Kwa kutulia umefanya kitu mbaya sana
Siku nyingine jipange kudanganya kabla hujaandika. Usijifunze kudanganya pitia sisi wana JF.Mwaka jana mwishoni mimi nayeye tulikubaliana kua na mtoto kisha ndiyo tufunge ndoa ingawa tulikua bado hatujaanza kuishi pamoja, alikubali na kubeba ujauzito wangu. Sababu ya kuja kwako ni hivi, katika kipindi hiki cha miezi minne ambacho ameenda kwao kujifungua nimegundua kuwa nilifanya makosa kuzaa naye.
Bonge la chai.Kila siku namzungusha X wangu kuwa nitaenda kumchukua, mtoto ana miezi mitatu sasa
Unaakili kweli au umevurugwa mie nimetoa hii mahali wamepost halafu nikaleta huku halafu unaniambia ujingaSiku nyingine jipange kudanganya kabla hujaandika. Usijifunze kudanganya pitia sisi wana JF.
Bonge la chai.
Umeitoa wapi wewe? Umekaa chini na kutunga uongo wako uje utuokote. Hudanganyi mtu. Haya sema umeitoa wapi? Tupe na reference ikiwezekana screen short huko uliopita.Unaakili kweli au umevurugwa mie nimetoa hii mahali wamepost halafu nikaleta huku halafu unaniambia ujinga
Wewe ni mpuuzi jianaume zima kazi kuliwaUmeitoa wapi wewe? Umekaa chini na kutunga uongo wako uje utuokote. Hudanganyi mtu. Haya sema umeitoa wapi? Tupe na reference ikiwezekana screen short huko uliopita.
Idiot 😅😅😅😅
Hio ndio maana halisi ya Nikishalewa MsiniacheJapo ni story, najaribu kujiuliza huyo mwanamke aliye oa kizazi kaacha kwao? Kama shida ni kutokuwa tayari kuwa baba
Yaan maana halisi ya Nikishalewa MsiniacheWewe ni mpuuzi jianaume zima kazi kuliwa
Kwanini mkuu wakati ni ujinga mwanamke kuzaa na mwanaume ambaye hayupo tayari kumuoaAjiandae kuishi kwenye ndoa iliyo na machozi na laana...
AiseeeeeMatusi ni kuonesha namna gani u muongo na hujalelewa vizuri. Matusi hukaa kifuani kwa mpumbavu. Hilo sio kosa lako ni kosa la wazazi wako kutotumia kondomu na kuzaa takataka kama wewe.
Haya umeshinda ila mzee wako bora angemwagia chini tu. 😁😁😁
AiseeeeeWewe ni mpuuzi jianaume zima kazi kuliwa