Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,836 730,284 Jan 29, 2016 #1 amekamatwa akisafirisha bangi kwa style ya kipekee
Konda wa bodaboda JF-Expert Member Jul 18, 2014 7,981 4,166 Jan 29, 2016 #2 Amekamatwa wapi na akipeleka wapi?
Chakochangu JF-Expert Member Mar 21, 2011 2,668 2,164 Jan 29, 2016 #5 Ki- digital. Binadamu kwa ubunifu hatujambo.
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,156 13,249 Jan 29, 2016 #8 wengune husafirisha hata watoto maiti waliotumbuliwa utumbo na kuwekwa kete
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 75,227 157,421 Jan 29, 2016 #9 Huyu alilewa :bange: akadhani kila mtu Ana akili kama yake,...... kumbe wengine wamelewa gambe, wakisikia tu harufu ya bangi mashetani yanatibuka
Huyu alilewa :bange: akadhani kila mtu Ana akili kama yake,...... kumbe wengine wamelewa gambe, wakisikia tu harufu ya bangi mashetani yanatibuka
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,836 730,284 Jan 29, 2016 Thread starter #10 Konda wa bodaboda said: Amekamatwa wapi na akipeleka wapi? Click to expand... More news on the way Babu JP said: Mkazi wa wapi mshana Click to expand...
Konda wa bodaboda said: Amekamatwa wapi na akipeleka wapi? Click to expand... More news on the way Babu JP said: Mkazi wa wapi mshana Click to expand...
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,836 730,284 Jan 29, 2016 Thread starter #11 Bujibuji said: Huyu alilewa :bange: akadhani kila mtu Ana akili kama yake,...... kumbe wengine wamelewa gambe, wakisikia tu harufu ya bangi mashetani yanatibuka Click to expand... Hahhahahaaaa katumia akili ila kakosa maarifa
Bujibuji said: Huyu alilewa :bange: akadhani kila mtu Ana akili kama yake,...... kumbe wengine wamelewa gambe, wakisikia tu harufu ya bangi mashetani yanatibuka Click to expand... Hahhahahaaaa katumia akili ila kakosa maarifa
mkorinto JF-Expert Member Jun 11, 2014 31,415 38,702 Jan 29, 2016 #14 Sasa mbona miguu hakuweka. Ndio maana wameshtuka.
strong ruler JF-Expert Member Nov 2, 2013 4,921 3,305 Jan 29, 2016 #15 Yee nae anabebaje mtoto mkubwa namna hiyo
Red Scorpion JF-Expert Member Feb 1, 2012 5,736 4,252 Jan 29, 2016 #16 strong ruler said: Yee nae anabebaje mtoto mkubwa namna hiyo Click to expand... Afu hana miguu!
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,836 730,284 Jan 29, 2016 Thread starter #18 werrason said: Kuna mtu kamchoma Click to expand... Hapa kuna ukweli
miss chagga JF-Expert Member Jun 7, 2013 57,815 49,031 Jan 29, 2016 #19 ha haha h huyu binti alinogewa aisee mtoto anakichwa kikubwa hivyo?
nalb JF-Expert Member Dec 8, 2015 436 608 Jan 29, 2016 #20 Duu huyu mjasilia akili ana A ya udanganyika, angechukua parfume make kuna watu wana uwezo wa kunusa harufu ya jani umbali wa hata km moja hvi
Duu huyu mjasilia akili ana A ya udanganyika, angechukua parfume make kuna watu wana uwezo wa kunusa harufu ya jani umbali wa hata km moja hvi