Hii ni tabia mbaya sana katika mahusiano. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni tabia mbaya sana katika mahusiano.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tall, Jul 22, 2010.

 1. T

  Tall JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Hakuna binadamu aliekamilika, kila mtu ana mapungufu na maumbile tofauti,kuna baadhi ya
  wanaume wenzangu,bila aibu wala haya kila baada ya mechi na wapenzi wao, huanza mambo ya kashfa yanayomhusu mpenzi wake, tena cha ajabu, mnamjua huyo mhusika/mpenzi wake.Kwa mawazo yangu hii ni tabia mbaya sana.Hapa ninapopatia riziki yupo jamaa mmoja yaani hata simmalizi. KASHFA aliyoieleza kuhusiana na dada alietembea nae ni aibu tupu
  Lakini pia wapo baadhi ya kina dada ambao nao hawajatulia kabisa, baada ya mechi na wapenzi wao, mashoga zake wote wanajua kila details ya mechi na hata bwana wake yukoje kimaumbile, halafu wakati mwingine hasemi ukweli ila ni KASHFA TU,tena hao mashoga zake wanamjua fika huyo jamaa.LABDA TUULIZANE WANA JF:
  1. Nini chanzo cha kashfa?
  2. Je ukimzushia kashfa mpenzi wako iwe ya kweli au uongo inasaidia/unapata faida?
  3. Tuwafanyaje watu kama hao(pamoja na huyu jamaa) kwenye dunia hii ya mapenzi?
  Binafsi sijawahi kukashifiwa kwa lolote....lakini huyu jamaa kashfa aliyomzushia msichana wa watu inanisikitisha sana.Wanaume wote kila wakimuona huyu dada na wakikumbuka maneno walioambiwa na jamaa wanaanza kucheka.....NI USHAURI WANGU KWA WOTE WANAUME NA WANAWAKE....''KASHFA HAZIFAI''......huo ni mtazamo wangu.
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,871
  Likes Received: 23,498
  Trophy Points: 280
  Kashfa ni nini? Labda nianzie hapo
   
 3. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hapo kwa RED hujawai kusikia kama umekashfiwa au? maana Kashfa wanaoelezwa ni wengine na sometimes wewe huwezi jua!!
   
 4. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  apo nlipoweka rangi unauhakika napo kweli??????
  yap i tabia ni ya uwongo n for loosers
  i ni dalili kwamba akuna mapenzi baina yao wangependana kiukweli wala wasingekashfiana nje
  +u ni utoto ndani ya utoto
  wengine wanatoa kashfa as defensive mechanism uone paleeee ahhhh paovyo kumbe bwana anajaribu kuwafukuza kwa bibi ake ale peke ake
  weng
  afu mijitu mingine naturally ni mijitu ya nyodo/dharau km ambavyo baadhi ya makabila yetu tz ni wataalamu kwa majigambo ata ukikutana na mtoto mchanga wa kabila ilo analia n'gaaaaaaaaaaaaa n'gaaaaaaaaaaaa kwa kingereza akimalizia na ..infakt mami yangu ana maziwa mazuri na matamu kushinda yawamama wote apa clinic......sasa ukikutana na wakubwa zao ndo utakoma sasa ............dah i hatari :scared:

  ndo ivyo babu uo ni ujinga tu ahaina haja ya kumkashfu mwenzio in whatever reasons/conditions might b,km unaona hakufitiu we sepa kimya kimya haina haja ya kujifanya hadija kopa taarabu nyiiiiiiiiiing sanasana waungwana watasema ni maneno ya mkosaji /looser
  nawasilisha
   
 5. Lisa

  Lisa JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 1,568
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Lakini Tall wanaume ndivyo walivyo hata umfanyie vipi , mkikorofishana kidogo tu basi anaanza kashfa sasa sielewi zinawasaidia nini, maana utakumta mtu anamkashifu mkewe kwa sababu tu wamegombana halafu baada ya muda wanarudiana sasa sielewi huwa hawaoni aibu? maana anakuwa tayari ameshatangaza jinsi mkewe alivyo.

  WANAUME KUWENI NA TABIA NZURI KAMA MMEACHANA NA MWANAMKE /MKEO USITANGAZE MABAYA YAKE, MAANA "MWISHO WA UBAYA AIBU".
   
 6. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  jamani akka na mtu anaje na sifa zinazopendezewa kwenye mahusiano .............tumechoka kusikia ILA tu!


  hebu nifunzeni mambo mazuri kwenye uhusiano na mabaya nitaacha taratibu!
   
 7. Jumboplate

  Jumboplate Senior Member

  #7
  Jul 22, 2010
  Joined: Jul 29, 2008
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nadhani utakuwa unazungumzia wanaume wako na si wote...
   
 8. T

  Tall JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  ni pamoja na maumbile au tabia/isio ya kawaida/mbaya/maalum ya mpenzi wako
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,871
  Likes Received: 23,498
  Trophy Points: 280
  Mwalimu, kwenye hizo bold niipekue TUKI yangu au ni spelingi misteki?
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  Jul 22, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,871
  Likes Received: 23,498
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye red, hiyo ni silaha kali wanayotumia wanawake kuwakashifu wnaume mambo yanapokwenda harijojo.

  Nlishawahi kumsikia mshori akimwambia jamaa yake "Tena bora tuachane manake nimekuvumilia vya kutosha. Kakitu kenyewe kadogo kama bamia, nikikohoa kanatoka! Halafu bao lenyewe moja, ukimaliza unapumua kama kitimoto unanipa kazi nyingine ya kukupepea" Mwisho wa kunukuu!
   
 11. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #11
  Jul 22, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hapa hommie unaitaji Msaada wa Tall au Gaijin? isije kua una leta inda tashtit tu:lock1:
   
 12. T

  Tall JF-Expert Member

  #12
  Jul 22, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  hiyo ni pooooint isio na ubishi....lakini unajua,maneno huwa yanazunguuuuka mwisho anajitokeza mmoja anasema ukweli anamwambia mhusika KAMA NOMA NA IWE NOMA.
   
 13. T

  Tall JF-Expert Member

  #13
  Jul 22, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  ....wenye makabila yao wanakusikia mkuu,...... mi simo.
   
 14. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #14
  Jul 22, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280

  hehehehe ngoja kwanza nitoke nje nikacheke kidogo.......yaani hata watoto wadogo wanalia kwa kingereza tena?
   
 15. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #15
  Jul 22, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280

  Hiyo ni INDA Hommie!
   
 16. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #16
  Jul 22, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nimecheka, kha! sasa ebu malizia story ikawaje? cajabu wameoana hao!
   
 17. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #17
  Jul 22, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Leo nipo na wewe hommie katika kujifunza!!! hahahahah :crazy:
   
 18. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #18
  Jul 22, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Asprin ..............hapo tuki usiitafute .....japokuwa AKKA kwa kiswahili sanifu means mshangao! (samahani kwa alama hiyo kukosekana) hehehe

  hapo kwengine ni spelling mistake ..............mimi nimechoka kusikia tabia mbaya, nataka niambiwe tabia njema zinazojenga mahusiano plz

  btw kimey suala la asprin kwa mtoa mada limekaa kitashtiti zaidi:lol:
   
 19. T

  Tall JF-Expert Member

  #19
  Jul 22, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  wanawake kama hawa ndio huwafanya baadhi ya wanaume kutwa nzima wanashinda kwa waganga kuongeza SIZE na.....y NANINO.
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Jul 22, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,871
  Likes Received: 23,498
  Trophy Points: 280
  Mwalimu Gaijin anzisha darasa kabisa. Hapa nshakutafutia wanafuzi wawili tayari. Angalizo: Mi nitakuwa klasi monita, Hihi klasi monita kwa kiswahili ni nini mwalimu?
   
Loading...