Hii Ni Simu Feki

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
218
Rafiki yangu mmoja aliniambia kuhusu E-PDA V16 inayojulikana zaidi kama N95 feki , simu hii inauwezo wa kutumia SIM CARD mbili na zote zikafanya kazi kwa wakati mmoja , pamoja na camera na vitu vingine vingine vya kufurahisha katika simu za kisasa unaweza kupita au kutuma sms kwa namba hizo mbili kwa wakati mmoja bila shida

ANGALIA ATTACHEMENT
 
..mambo ya wachina hayo!

..jamaa anafahamu wapi unaweza pata support services za hiyo simu kama ikileta ujinga?...vitu kama firmware upgrading/updating na kadhalika!
 
Rafiki yangu mmoja aliniambia kuhusu E-PDA V16 inayojulikana zaidi kama N95 feki , simu hii inauwezo wa kutumia SIM CARD mbili na zote zikafanya kazi kwa wakati mmoja , pamoja na camera na vitu vingine vingine vya kufurahisha katika simu za kisasa unaweza kupita au kutuma sms kwa namba hizo mbili kwa wakati mmoja bila shida

ANGALIA ATTACHEMENT

SHY,tafadhali nunua simu authentic,naamini una knowledge ya kutosha kujua kuwa vitu feki havifai.sio kwako tu.bali hata kwa uchumi wa nchi yetu changa.

ushauri kwa wengine.

i think a drive through modern life has forced tanzanians into Buying out craps!!how can someone comfortably BUY a N95 copy and expect it to perfom??yeah the features looks great.BUT do they work??Do they Do what they claim to do the way its supposed to be done??

hizi simu feki na makorokoro feki yanatu-cost sana kiuchumi sie hatujui tu.we take it easy kuwa..,ah mie mtu mmoja nina effect gani??lakini on the long RUN,matatizo ya nchi yetu tunayapalilia wenyewe.

sijui ni uchumi,elimu au vyote lakini vitu vingine tunajitakia..,siamini mtu anayeweza kununua N95 copy,atashindwa nunua N70 original.

Mindset ni kitu muhimu sana,sio katika social walfare ti bali hata kwa maendeleo ya nchi.Ndio maana tupo stuck hadi leo hii,kweney sijui ERA gani..,maana hat-fit kokote kule.sio ubepari,sio ujamaa,sio market economy sio what..,vitu vipo out of order!!!

watu wanaagiza makorokoro SUB standard,hamna anayeongea..,hivi karibuni nimeshuhudia kwa macho yangu mwenyewe WAZIRI flani muhimu nchini kwetu akiwa kwa watu huku na MSIMU FEKI.aaagh yani ilinikera sana..,amekuja kufanya discussion za maana lakini mindset yake haikuwa sawa..,atleast kwa watu aliokuwa nao.kwani ni kitu ambacho hakipo kwa wenzetu kukuta kiongozi mkubwa kama yule akiwa front line ya crap product support.

its my call to all TANZANIANS,jamani eeeh ule muda wa kutamani kuishi kama silicon valley in terms of high techs bado hatujafika.tuwe na subira.PDA's na simu za gharama si vibaya tukinunua tunazo-afford.

kama uchumi hauruhusu kila kamuni kubwa ya simu duniani ina budget phone options.sio mbaya tukitumia hizo.

we have no IDEA how many patent rights na vitu kama hivyo hao jamaa wanaotengeneza hizi simu feki wamevunja au kudhulumu.

no wonder hawana hata customer service au any type of support base.

najua kuna watakaokuwa hawakubaliani na mimi kwenye hili,lakini hivi jaribu kuchukua mfano ufuatao :-

unaenda hospitali unaambiwa kuwa kuna madokta wawili.mmoja dokta halisi,mwingine feki.na yule feki ana mavazi yoote ya dokta,ana sindano dawa na vifaa vyote.ila hajawaho kusomea udaktari hata siku moja.

UTATAKA KUTATIBIWA NA NANI??

siku kazini kwako wakikuambia mwezi huu tukupe mshahara wa fedha FEKI UTAKUBALI???
 
..pangu,

..nimekuaminia kwa hayo maneno!

..watu weshasahau...bure aghali!na wanajitosa kununua mafamba kwa vile yanamuonekano wa vitu vikali,ilihali hayana uwezo wa vitu hivyo!

..kuna jamaa yangu nilimwona na n73 nikasema jamaa kanunua kifaa,kumbe,do!ni famba la kichina!.lakini tatizo nalo liko kwa ndugu zetu ambao hununua vitu bila kuwa makini. wao wakiambiwa hii ni n95 ya bei poa tena ina sim slots mbili,wanasema...deal si ndo hii...kumbe wameula wa chuya!

..pamoja na kwamba wachina wanatengeneza simu nzuri[kwa brand zao]bado feki ni feki tu,hata kama imetengenezwa na mmarekani!

..tukitoka kwenye simu,tuje kwenye uchafu tunaojaziwa siku hizi,kisa eti computer!unakuta mtu anasema anauza laptop,ukiiangalia unakuta ni zile toshiba za zamani ziko kama tofali!

..tukitoka huko tunahamia kwenye energy saver,tubelights,electric appliances,etc.

..bado hatujang'amua kwamba maendeleo yana gharama zake,hayapatikani cheaply!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom