Dah kweli tunakula uchafu wa kila aina
hapo ndo atajambia mikate yoote kwa nafasi
ikitoka hapo tunailipia kwa hela
Sijui TZ kama itauzwa dolar 200Mkuu The Boss.
Niliwahi kwenda kwenye bakery ya Msomali, Ilala. Siku hizo, Azam bread ilikuwa bado. Wafanyakazi wake Sita walikuwa wanakanda unga kwa kukanyaga kwa miguu. Jasho linamiminika katika unga.
Lakini, kila mkate uliuzwa, foleni nje.
Nunua hii home breadmaker. Utakula fresh bread kila siku. Natumia nyumbani. $200.
View attachment 318954
Panasonic SD-ZB2502BXC Breadmaker
Compare milioni moja na ushuzi wa watu wa aina ya huyo jamaaSijui TZ kama itauzwa dolar 200
ikija TZ utaambiwa milioni moja