Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 16,584
- 30,589
Anasema aliombwa jicho na mwarabu.Umejuaje?
Anasema aliombwa jicho na mwarabu.Umejuaje?
Dogo sio mzima huyuAnasema aliombwa jicho na mwarabu.
Hata mamanagersDuh Ukishaona unafanya kazi sehemu alie kuajili ni HR, basi tafuta kazi, Hakuna Kampuni hapo ni kikundi tu cha wahuni.
Kumbe we ni mudada na si mdada?Mimi ni mudada
Eh mie ni mudada?? Big DKumbe we ni mudada na si mdada?
😅😅😅😅😅😅😅😅
Duuuh walah hizi changamoto za kazi haswa Kwa wasomi bila shaka wengi wao hawana marinda sababu hii, ya uhaba wa kazi.niliwahi kuomba kaz kwa mwaraabu akaniambia kaz utapata ila nataka huduma ya ziada.Nljitafakar mm kama mto wa kiume ntatoa huduma gani.Ilnibid niachane na hiyo kaz maramoja
😅😅😅😅😅😅😅😅
Kijana anayosema ni kweli kabisa, vijana wengi Tena wasomi kabisa wa kike na wa kiume washafi..r..wa ili waingizwe kazini.
Hawa majombie wanadhan mzaha saiv wanaume wanajiuza huku wengine wanamahusiano kisiri.Na hata wanaofanya uchafu huu n watu wenye heshima zaoKijana anayosema ni kweli kabisa, vijana wengi Tena wasomi kabisa wa kike na wa kiume washafi..r..wa ili waingizwe kazini.
Usione watu wamekalia viti vya kuzunguka maofisini au mdada pisi Kali anasukuma Prado ukweli ni kwamba asilimia 90 ya hao washa fi....rwa.
Karb nngepoteza wizara ya ndanAnasema aliombwa jicho na mwarabu.
Sijakuelewa Yani hr mwanaume afu anataka rushwa ya ngono Kwa mwanamke na mwanaume???Zamani hr wengi ni wanaume basi unakuta ukitaka kazi unatoa rushwa ya ngono unapewa kazi huyo ni mwanamke , sasa mwanaume anatoa hongo ya pesa anapewa kazi .
Kwa miaka hii haki sawa wanaume na wanawake hr ni mwanaume na kazi wanataka mwanaume na mwanamke na wote wanatoa rushwa ya ngonoo dah hii hatari.
Hata kama ni hr mwanamke anapewa rushwa yangono ya mapenzi mwanamke namwanaume na wanapewa kazi kweli hali si hali ni ajabu.
Mto wa kiumeniliwahi kuomba kaz kwa mwaraabu akaniambia kaz utapata ila nataka huduma ya ziada.Nljitafakar mm kama mto wa kiume ntatoa huduma gani.Ilnibid niachane na hiyo kaz maramoja
Hawa majombie wanadhan mzaha saiv wanaume wanajiuza huku wengine wanamahusiano kisiri.Na hata wanaofanya uchafu huu n watu wenye heshima zao
Nina Sana 😆Karb nngepoteza wizara ya ndan
Aisee acha tu. Maana kuna mtu alikubali hiyo huduma ndo akapata hiyo nafasi.Duu
Duuuh walah hizi changamoto za kazi haswa Kwa wasomi bila shaka wengi wao hawana marinda sababu hii, ya uhaba wa kazi.
Shida zako ndo mtaji na fursa Kwa wengine
Embu ona kama wewe ungejilegeza tyari ungekuta upo kazini ila marinda hakuna
Jiulize ni wangapi Wana kazi nzuri Tena vitengo vya maana ila rinda ndo hivo Tena hakuna
aahahhahahha ety huduma ya ziada daaah 😂😂😂😂😂😂😂😂
Yahhh apo Kuna mtu kaliwa kipwinto saizi yupo kwenye kiti Cha kuzunguka ofisiniAisee acha tu. Maana kuna mtu alikubali hiyo huduma ndo akapata hiyo nafasi.
Subhana allah ahahhahahhaYahhh apo Kuna mtu kaliwa kipwinto saizi yupo kwenye kiti Cha kuzunguka ofisini